Kuelekea 21/1/19: What is the best way forward?. Spika afute wito wa CAG na kuomba radhi, ang’oke, CAG ajibu mapigo atolewe kafara, Bunge livunjwe!

Bunge ni UOZO kabisa! Haiwezekani kabisa madudu na maovu yote haya nchini yanayofanywa na huyo kichaa dhalimu halafu bunge linalotuwakilisha Watanzania liko kimya kabisa.

Niko upande mmoja na CAG Assad.
Siku ukirudi kutoka kuosha vibibi vya kizungu huko lazima ujambishwe!
 
Wanabodi
Kama kawaida yangu kunapotokea mitanzuko kati ya kauli za viongozi, sheria na katiba, watu wote wenye mapenzi mema na taifa hili lazima wajiulize what will happen hiyo tarehe 21/1 maana tayari kuna kila dalili ya the clash of Titans kati ya sheria na katiba kuhusiana na CAG kuuzungumza ukweli kuhusu Bunge letu, Spika kumuita CAG kuhojiwa kwa kutumia mamlaka yake kisheria, wakati CAG ana kinga ya kikatiba ya kutohojiwa na yeyote zaidi ya mahakama.

Wiki hii inayoanza leo ni very crucial na lolote kati ya mambo matatu haya linaweza kutokea kuepusha shari.

Nimesema kuepusha shari kwa makusudi kabisa kwa sababu Spika anajihesabu yuko right kumuita CAG kwa sababu hivyo ndivyo sheria inayompa mamlaka inavyotamka kuwa anaweza kumuita mtu yoyote, hii inamaanisha hata rais. Wakati kinga ya CAG kutohojiwa iko kwa mujibu wa katiba. Hivyo tayari hapo kuna mgongano wa sheria na katiba ambayo hii tuu peke yake tayari ni shari.

Kunapotokea mgongano kati ya sheria na katiba, katiba ndio the supreme, hivyo kisheria kinga ya CAG kutohojiwa ni kubwa kuliko sheria inayompa mamlaka Spika kumuita yoyote kumhoji.

Kufuatia sakata hili, wiki hii kuna either or moja kati ya matatu haya litokee ama Spika aondoke, Bunge na CAG wabaki, CAG aondoke Bunge na Spika wabaki au ikithibitishwa Bunge ni dhaifu, livunjwe?.

1. Spika ataitisha press conference nyingine kuufuta ule wito wake kumuita CAG baada ya kushauriwa na Mwanasheria Mkuu, na pia ataitumia fursa hiyo kumuomba radhi CAG kumuita kwa vitisho vya kumleta kwa pingu, hivyo mtanzuko huu utakuwa umemalizika rasmi, kitakachofuata ni kama ni kweli kauli ya CAG kuliita Bunge dhaifu kumelidhalilisha Bunge, then atashughulikiwa na mamlaka yake ya nidhamu. Kama ni kweli Bunge ni dhaifu, then hakuna jinsi ni lazima Spika ang’oke kukubali responsibility hata sii yeye. Vingozi kibao wamejiuzulu kukubali kuwajibika, hivyo Spika akubali tuu kuwajibika kulinusuru Bunge.

2. CAG baada ya kupokea barua rasmi ya wito wa Spika, ofisi yake itaijibu rasmi barua hiyo kwa kuweka bayana kuwa CAG hawezi kufika mbele ya kamati na wataweka vifungu vya kinga ya CAG kwa mujibu wa katiba. Hapa Spika atakuwa amejeruhiwa vibaya na kitachofuata ni ama akubali mwenyewe kuwajibika kwa kujiuzulu kwa kuita watu ambao hana uwezo nao kwa kuwatishia pingu au hatua za kumshungulikia kwa mujibu wa mamlaka yake ya nidhamu zitafuatia. Ila Ofisi ya CAG itakuwa imetayarisha nondo zote za ukweli wa udhaifu wa Bunge letu ambazo zikiwekwa hadharani ndipo Kiukweli Bunge litadhalilika na rais atakuwa hana jinsi bali kulivunjilia mbali Bunge dhaifu.

3. Ili kulinda heshima ya Spika, na hadhi ya Mhimili wa Bunge, CAG atashauriwa akubali aende Dodoma na kukubali kuitika wito licha ya kuwa na kinga ya katiba kwa CAG kutohojiwa na yeyote. Hapo Dodoma CAG atasema wazi kuwa ameitika wito kiheshima tuu lakini kamati ya Bunge haina mamlaka kumuhoji, lakini kwa vile the bone of contention ni kauli yake aliyoitoa kule UN kuwa Bunge letu ni dhaifu, atakiri kuiitoa kauli hiyo na ataeleza ukweli bayana wa udhaifu wa Bunge letu ambao pia sasa atauweka rasmi kwenye Ripoti ya CAG ya mwezi April, 2018, ibaki kazi moja tuu kwa rais ama kuruhusu Bunge lijirekebishe kuondoa udhaifu wake ikiwemo kuondolewa rasmi kwa Spika, rais alivunje Bunge au CAG aindolewe kwa kosa la kusema ukweli kuhusu udhaifu wa Bunge letu.

Hivyo mwisho ya sakata hili ni ama Spika, ama CAG ama Bunge!. Ila kwa umasikini huu, naona uamuzi utakuwa ni ama kufanya the right thing kwa udhaifu kwenye Bunge letu uondoke, au kumtoa kafara GAG kumnusuru Spika na kulinusuru Bunge.

Jumatatu Njema.

Paskali

Sita-comment ulichoandika hapa...ila mimi nimekaa mkao wa 'chochote'... I have nothing to loose ..tehtehtehtehteh
 
We need short and clear.
 
Bunge livunjwe
 
Hivyo tayari hapo kuna mgongano wa sheria na katiba ambayo hii tuu peke yake tayari ni shari.
Hakuna mgogoro katu Bwana Pascal, ni jinga fulani linaleta tafurani! This is crystal clear, Katiba is sheria mama! No sheria should be above katiba. Haya mambo ni ya Lushoto Institute of Judicial administration wanasoma kwenye certificate course! Pascal Mayalla
 
Wanabodi
Kama kawaida yangu kunapotokea mitanzuko kati ya kauli za viongozi, sheria na katiba, watu wote wenye mapenzi mema na taifa hili lazima wajiulize what will happen hiyo tarehe 21/1 maana tayari kuna kila dalili ya the clash of Titans kati ya sheria na katiba kuhusiana na CAG kuuzungumza ukweli kuhusu Bunge letu, Spika kumuita CAG kuhojiwa kwa kutumia mamlaka yake kisheria, wakati CAG ana kinga ya kikatiba ya kutohojiwa na yeyote zaidi ya mahakama.

Wiki hii inayoanza leo ni very crucial na lolote kati ya mambo matatu haya linaweza kutokea kuepusha shari.

Nimesema kuepusha shari kwa makusudi kabisa kwa sababu Spika anajihesabu yuko right kumuita CAG kwa sababu hivyo ndivyo sheria inayompa mamlaka inavyotamka kuwa anaweza kumuita mtu yoyote, hii inamaanisha hata rais. Wakati kinga ya CAG kutohojiwa iko kwa mujibu wa katiba. Hivyo tayari hapo kuna mgongano wa sheria na katiba ambayo hii tuu peke yake tayari ni shari.

Kunapotokea mgongano kati ya sheria na katiba, katiba ndio the supreme, hivyo kisheria kinga ya CAG kutohojiwa ni kubwa kuliko sheria inayompa mamlaka Spika kumuita yoyote kumhoji.

Kufuatia sakata hili, wiki hii kuna either or moja kati ya matatu haya litokee ama Spika aondoke, Bunge na CAG wabaki, CAG aondoke Bunge na Spika wabaki au ikithibitishwa Bunge ni dhaifu, livunjwe?.

1. Spika ataitisha press conference nyingine kuufuta ule wito wake kumuita CAG baada ya kushauriwa na Mwanasheria Mkuu, na pia ataitumia fursa hiyo kumuomba radhi CAG kumuita kwa vitisho vya kumleta kwa pingu, hivyo mtanzuko huu utakuwa umemalizika rasmi, kitakachofuata ni kama ni kweli kauli ya CAG kuliita Bunge dhaifu kumelidhalilisha Bunge, then atashughulikiwa na mamlaka yake ya nidhamu. Kama ni kweli Bunge ni dhaifu, then hakuna jinsi ni lazima Spika ang’oke kukubali responsibility hata sii yeye. Vingozi kibao wamejiuzulu kukubali kuwajibika, hivyo Spika akubali tuu kuwajibika kulinusuru Bunge.

2. CAG baada ya kupokea barua rasmi ya wito wa Spika, ofisi yake itaijibu rasmi barua hiyo kwa kuweka bayana kuwa CAG hawezi kufika mbele ya kamati na wataweka vifungu vya kinga ya CAG kwa mujibu wa katiba. Hapa Spika atakuwa amejeruhiwa vibaya na kitachofuata ni ama akubali mwenyewe kuwajibika kwa kujiuzulu kwa kuita watu ambao hana uwezo nao kwa kuwatishia pingu au hatua za kumshungulikia kwa mujibu wa mamlaka yake ya nidhamu zitafuatia. Ila Ofisi ya CAG itakuwa imetayarisha nondo zote za ukweli wa udhaifu wa Bunge letu ambazo zikiwekwa hadharani ndipo Kiukweli Bunge litadhalilika na rais atakuwa hana jinsi bali kulivunjilia mbali Bunge dhaifu.

3. Ili kulinda heshima ya Spika, na hadhi ya Mhimili wa Bunge, CAG atashauriwa akubali aende Dodoma na kukubali kuitika wito licha ya kuwa na kinga ya katiba kwa CAG kutohojiwa na yeyote. Hapo Dodoma CAG atasema wazi kuwa ameitika wito kiheshima tuu lakini kamati ya Bunge haina mamlaka kumuhoji, lakini kwa vile the bone of contention ni kauli yake aliyoitoa kule UN kuwa Bunge letu ni dhaifu, atakiri kuiitoa kauli hiyo na ataeleza ukweli bayana wa udhaifu wa Bunge letu ambao pia sasa atauweka rasmi kwenye Ripoti ya CAG ya mwezi April, 2018, ibaki kazi moja tuu kwa rais ama kuruhusu Bunge lijirekebishe kuondoa udhaifu wake ikiwemo kuondolewa rasmi kwa Spika, rais alivunje Bunge au CAG aindolewe kwa kosa la kusema ukweli kuhusu udhaifu wa Bunge letu.

Hivyo mwisho ya sakata hili ni ama Spika, ama CAG ama Bunge!. Ila kwa umasikini huu, naona uamuzi utakuwa ni ama kufanya the right thing kwa udhaifu kwenye Bunge letu uondoke, au kumtoa kafara GAG kumnusuru Spika na kulinusuru Bunge.

Jumatatu Njema.

Paskali
Jumatatu njema na kwako pia, Thanks Lord 21/01/2018 is loadingiiiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ya sasa kila mtu ni msemaji wa serikali,waandishi wa habari mmejikita kwenye harakati,badala ya kuisaidia jamii kwa kutimiza wajibu wenu kama waandishi wa habari.

Mnaiongelea serikali, as if serikali haipo na kama vile wasemaji wa ikulu hawaisaidii serikali.
Hivi mwanasheria wa serikali hayupo na nyinyi mnaogeuka wasemaji wa CAG mmetokea wapi?

Spika alimuita Mussa assad kama yeye, na sio hivi mnavyochanganya sakata hili na kulifanya kama mtaji wa kunufaika na malengo yenu binafsi.

Hivi kweli nchi hii inajiendea kama boti iliyozimikia katikati ya bahari?
Haya mimi yangu macho!
Lakini narudia,magufuli is the right person for presidency 2025 View attachment 993757

Sent using Jamii Forums mobile app

Ujinga umefungwa kwenye kichwa chako, CAG ni nani na Assad ni nani?
 
CAG hakufanya vizuri kuliita bunge dhaifu hili neno kutumiwa dhidi ya muhimili wa nchi unaojitegemea kimamlaka ni tusi hivyo ni busara akifika mbele ya kamati.
Hivi kwa nini mnapotosha kama mazuzu?
CAG hakusema Bunge ni dhaifu bali kasema kama anapeleka ripoti na haifanyiwi kazi basi huo ni udhaifu wa bunge! Sasa mlitaka aseme kama ripoti haifanyiwi kazi ni ushujaa wa bunge?
Ukisikia ufala ndio huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria hujui porojo tuui. Hivi kweli umesahau ulivyohenyeshwa na Kamati ya Bunge na uliporudi uraiani ukawa bubu wa kutupa!

Hakuna sheria zinafuatwa sasa hivi, bali mwenye uwezo wa kuagiza vyombo vya dola ndio anaamua atekeleze sheria zipi. Kama ingekuwa sheria zinafuatwa hiyo 1.5t ingeshajadiliwa na hilo bunge dhaifu.
 
Wanabodi
Kama kawaida yangu kunapotokea mitanzuko kati ya kauli za viongozi, sheria na katiba, watu wote wenye mapenzi mema na taifa hili lazima wajiulize what will happen hiyo tarehe 21/1 maana tayari kuna kila dalili ya the clash of Titans kati ya sheria na katiba kuhusiana na CAG kuuzungumza ukweli kuhusu Bunge letu, Spika kumuita CAG kuhojiwa kwa kutumia mamlaka yake kisheria, wakati CAG ana kinga ya kikatiba ya kutohojiwa na yeyote zaidi ya mahakama.

Wiki hii inayoanza leo ni very crucial na lolote kati ya mambo matatu haya linaweza kutokea kuepusha shari.

Nimesema kuepusha shari kwa makusudi kabisa kwa sababu Spika anajihesabu yuko right kumuita CAG kwa sababu hivyo ndivyo sheria inayompa mamlaka inavyotamka kuwa anaweza kumuita mtu yoyote, hii inamaanisha hata rais. Wakati kinga ya CAG kutohojiwa iko kwa mujibu wa katiba. Hivyo tayari hapo kuna mgongano wa sheria na katiba ambayo hii tuu peke yake tayari ni shari.

Kunapotokea mgongano kati ya sheria na katiba, katiba ndio the supreme, hivyo kisheria kinga ya CAG kutohojiwa ni kubwa kuliko sheria inayompa mamlaka Spika kumuita yoyote kumhoji.

Kufuatia sakata hili, wiki hii kuna either or moja kati ya matatu haya litokee ama Spika aondoke, Bunge na CAG wabaki, CAG aondoke Bunge na Spika wabaki au ikithibitishwa Bunge ni dhaifu, livunjwe?.

1. Spika ataitisha press conference nyingine kuufuta ule wito wake kumuita CAG baada ya kushauriwa na Mwanasheria Mkuu, na pia ataitumia fursa hiyo kumuomba radhi CAG kumuita kwa vitisho vya kumleta kwa pingu, hivyo mtanzuko huu utakuwa umemalizika rasmi, kitakachofuata ni kama ni kweli kauli ya CAG kuliita Bunge dhaifu kumelidhalilisha Bunge, then atashughulikiwa na mamlaka yake ya nidhamu. Kama ni kweli Bunge ni dhaifu, then hakuna jinsi ni lazima Spika ang’oke kukubali responsibility hata sii yeye. Vingozi kibao wamejiuzulu kukubali kuwajibika, hivyo Spika akubali tuu kuwajibika kulinusuru Bunge.

2. CAG baada ya kupokea barua rasmi ya wito wa Spika, ofisi yake itaijibu rasmi barua hiyo kwa kuweka bayana kuwa CAG hawezi kufika mbele ya kamati na wataweka vifungu vya kinga ya CAG kwa mujibu wa katiba. Hapa Spika atakuwa amejeruhiwa vibaya na kitachofuata ni ama akubali mwenyewe kuwajibika kwa kujiuzulu kwa kuita watu ambao hana uwezo nao kwa kuwatishia pingu au hatua za kumshungulikia kwa mujibu wa mamlaka yake ya nidhamu zitafuatia. Ila Ofisi ya CAG itakuwa imetayarisha nondo zote za ukweli wa udhaifu wa Bunge letu ambazo zikiwekwa hadharani ndipo Kiukweli Bunge litadhalilika na rais atakuwa hana jinsi bali kulivunjilia mbali Bunge dhaifu.

3. Ili kulinda heshima ya Spika, na hadhi ya Mhimili wa Bunge, CAG atashauriwa akubali aende Dodoma na kukubali kuitika wito licha ya kuwa na kinga ya katiba kwa CAG kutohojiwa na yeyote. Hapo Dodoma CAG atasema wazi kuwa ameitika wito kiheshima tuu lakini kamati ya Bunge haina mamlaka kumuhoji, lakini kwa vile the bone of contention ni kauli yake aliyoitoa kule UN kuwa Bunge letu ni dhaifu, atakiri kuiitoa kauli hiyo na ataeleza ukweli bayana wa udhaifu wa Bunge letu ambao pia sasa atauweka rasmi kwenye Ripoti ya CAG ya mwezi April, 2018, ibaki kazi moja tuu kwa rais ama kuruhusu Bunge lijirekebishe kuondoa udhaifu wake ikiwemo kuondolewa rasmi kwa Spika, rais alivunje Bunge au CAG aindolewe kwa kosa la kusema ukweli kuhusu udhaifu wa Bunge letu.

Hivyo mwisho ya sakata hili ni ama Spika, ama CAG ama Bunge!. Ila kwa umasikini huu, naona uamuzi utakuwa ni ama kufanya the right thing kwa udhaifu kwenye Bunge letu uondoke, au kumtoa kafara GAG kumnusuru Spika na kulinusuru Bunge.

Jumatatu Njema.

Paskali
Be careful mkuu, Maprofessor wetu hawazielewi hizi alama, ! na ?.
 
Sheria hujui porojo tuui. Hivi kweli umesahau ulivyohenyeshwa na Kamati ya Bunge na uliporudi uraiani ukawa bubu wa kutupa!
Alihenyeshwa? Wewe ulikuwepo utujuze nini kilitokea? Kuwa bubu yaweza kuwa ni makubaliano waliyo fikia baada ya kamati kushindwa maana hawakutangaza adhabu yeyote .
Hisia zako za kilumumba baki nazo kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi
Kama kawaida yangu kunapotokea mitanzuko kati ya kauli za viongozi, sheria na katiba, watu wote wenye mapenzi mema na taifa hili lazima wajiulize what will happen hiyo tarehe 21/1 maana tayari kuna kila dalili ya the clash of Titans kati ya sheria na katiba kuhusiana na CAG kuuzungumza ukweli kuhusu Bunge letu, Spika kumuita CAG kuhojiwa kwa kutumia mamlaka yake kisheria, wakati CAG ana kinga ya kikatiba ya kutohojiwa na yeyote zaidi ya mahakama.

Wiki hii inayoanza leo ni very crucial na lolote kati ya mambo matatu haya linaweza kutokea kuepusha shari.

Nimesema kuepusha shari kwa makusudi kabisa kwa sababu Spika anajihesabu yuko right kumuita CAG kwa sababu hivyo ndivyo sheria inayompa mamlaka inavyotamka kuwa anaweza kumuita mtu yoyote, hii inamaanisha hata rais. Wakati kinga ya CAG kutohojiwa iko kwa mujibu wa katiba. Hivyo tayari hapo kuna mgongano wa sheria na katiba ambayo hii tuu peke yake tayari ni shari.

Kunapotokea mgongano kati ya sheria na katiba, katiba ndio the supreme, hivyo kisheria kinga ya CAG kutohojiwa ni kubwa kuliko sheria inayompa mamlaka Spika kumuita yoyote kumhoji.

Kufuatia sakata hili, wiki hii kuna either or moja kati ya matatu haya litokee ama Spika aondoke, Bunge na CAG wabaki, CAG aondoke Bunge na Spika wabaki au ikithibitishwa Bunge ni dhaifu, livunjwe?.

1. Spika ataitisha press conference nyingine kuufuta ule wito wake kumuita CAG baada ya kushauriwa na Mwanasheria Mkuu, na pia ataitumia fursa hiyo kumuomba radhi CAG kumuita kwa vitisho vya kumleta kwa pingu, hivyo mtanzuko huu utakuwa umemalizika rasmi, kitakachofuata ni kama ni kweli kauli ya CAG kuliita Bunge dhaifu kumelidhalilisha Bunge, then atashughulikiwa na mamlaka yake ya nidhamu. Kama ni kweli Bunge ni dhaifu, then hakuna jinsi ni lazima Spika ang’oke kukubali responsibility hata sii yeye. Vingozi kibao wamejiuzulu kukubali kuwajibika, hivyo Spika akubali tuu kuwajibika kulinusuru Bunge.

2. CAG baada ya kupokea barua rasmi ya wito wa Spika, ofisi yake itaijibu rasmi barua hiyo kwa kuweka bayana kuwa CAG hawezi kufika mbele ya kamati na wataweka vifungu vya kinga ya CAG kwa mujibu wa katiba. Hapa Spika atakuwa amejeruhiwa vibaya na kitachofuata ni ama akubali mwenyewe kuwajibika kwa kujiuzulu kwa kuita watu ambao hana uwezo nao kwa kuwatishia pingu au hatua za kumshungulikia kwa mujibu wa mamlaka yake ya nidhamu zitafuatia. Ila Ofisi ya CAG itakuwa imetayarisha nondo zote za ukweli wa udhaifu wa Bunge letu ambazo zikiwekwa hadharani ndipo Kiukweli Bunge litadhalilika na rais atakuwa hana jinsi bali kulivunjilia mbali Bunge dhaifu.

3. Ili kulinda heshima ya Spika, na hadhi ya Mhimili wa Bunge, CAG atashauriwa akubali aende Dodoma na kukubali kuitika wito licha ya kuwa na kinga ya katiba kwa CAG kutohojiwa na yeyote. Hapo Dodoma CAG atasema wazi kuwa ameitika wito kiheshima tuu lakini kamati ya Bunge haina mamlaka kumuhoji, lakini kwa vile the bone of contention ni kauli yake aliyoitoa kule UN kuwa Bunge letu ni dhaifu, atakiri kuiitoa kauli hiyo na ataeleza ukweli bayana wa udhaifu wa Bunge letu ambao pia sasa atauweka rasmi kwenye Ripoti ya CAG ya mwezi April, 2018, ibaki kazi moja tuu kwa rais ama kuruhusu Bunge lijirekebishe kuondoa udhaifu wake ikiwemo kuondolewa rasmi kwa Spika, rais alivunje Bunge au CAG aindolewe kwa kosa la kusema ukweli kuhusu udhaifu wa Bunge letu.

Hivyo mwisho ya sakata hili ni ama Spika, ama CAG ama Bunge!. Ila kwa umasikini huu, naona uamuzi utakuwa ni ama kufanya the right thing kwa udhaifu kwenye Bunge letu uondoke, au kumtoa kafara GAG kumnusuru Spika na kulinusuru Bunge.

Jumatatu Njema.

Paskali
Huyu ndiye Mayalla Pascal,option zote ngumu.

Zisipowezekana je?

Hakuna option ya wote kukaa kimya yakapita na kusahaulika kama mengine yaliyowahi kupita?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo Dogo Sana Hili, Tunalikuza Kwa Kujuja Au Kutokujua, ,, Tunajadili Kimihemuko Na Sio Weledi, CAG kaitwa kisiasa , na wito utaisha kisiasa,
ofisi ya CAG haifungamani na siasa ila taaluma ya ukaguzi n uhasibu. labda sijaelewa , akiulizwa maswali ataulizwa kama mwanasiasa ama atatakiwa kujibu kisiasa hata kama kaulizwa as professional ?
 
Back
Top Bottom