Recent content by Smartland

  1. S

    JamiiForums Naomba kujuzwa gharama za msingi kwa nyumba ya ghorofa moja

    Mkuu hongera nimeipenda sana hii Ramani yako. Kama hutajali naomba unipm ground floor yake. Asante sana mkuu
  2. S

    JamiiForums Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

    Haya ni Mambo ya kisheria ndugu sio sawa na mawazo yako. Kisheria alipaswa aifute hio kesi na kuwachia watuhumiwa. Miongozo ya kesi zote za mahakama kuu na mahakama za Rufani zinaelekeza namna hiyo. Kitendo cha Mhe. Luvanda kukiri kuwa charge sheet ina makosa ilipaswa afafanue kama charge sheet...
Back
Top Bottom