Recent content by Smartbrain

  1. Smartbrain

    JamiiForums Tanzania Hasara za Kukurupuka! Jinsi ya kudownload nyimbo bure Wasafidotcom

    No system is 100% secure
  2. Smartbrain

    JamiiForums Tanzania Cyber security

    What is androidRAT??
  3. Smartbrain

    JamiiForums Tanzania MSAADA nahitaji watengenezaji wa plastic packing bag hapa tanzania

    Hapana mkuu labda umekosea ni 0759696989 na tigo ni 0672113877 Au ntumie ntumie ww number yako
  4. Smartbrain

    JamiiForums Tanzania MSAADA nahitaji watengenezaji wa plastic packing bag hapa tanzania

    Nicheki 0759696989 au 0672113877
  5. Smartbrain

    JamiiForums Tanzania MSAADA nahitaji watengenezaji wa plastic packing bag hapa tanzania

    Nahitaji mifuko ming sana .. Kama 1000 pices hiv
  6. Smartbrain

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kutengenezewa plastic packing bags hapa Tanzania

    Hito plastic inaweza kuoza sio kama zile zingine ... So ni safe one
  7. Smartbrain

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kutengenezewa plastic packing bags hapa Tanzania

    Nahitaji kutengenezewa plastic packing bags zaidi ya 500 , Naomba kama kuna mtu au kampuni inaweza kufanya hii kazi kwa bei nzuri tupeane mawasiliano au nicheki whatsapp 0759696989, Nimeambatanisha sample ya mifuko ninayo hitaji.
  8. Smartbrain

    JamiiForums Tanzania MSAADA nahitaji watengenezaji wa plastic packing bag hapa tanzania

    Nahitaji kampuni inayoweza kunitengenezea plastic bag kama hizo nilizo ambatanisha kwa bei nzuri . Iwe hapa hapa tanzania , Kama kuna mtu au kampuni unaijua naomba unipe njia ya kuwasiliana nao
  9. Smartbrain

    JamiiForums Tanzania Nahitaji motherbody ya macbook air model A1465

    nina Macbook air model A1465 ilimwagikia maji so motherboard yake imekufa ila vingine vyote vipo safe. Kama kunamtu anayo tufanye biashara
  10. Smartbrain

    JamiiForums Tanzania Opinion: The State of Software Development in Tanzania

    Kwa uchunguzi nliafanya juu juu nimekundua wanafunzi wengi wa IT wanaotoka vyuon huwa wanakua na mwanga au ujuz mzuri tu kuhusu programming kutokana na kufundishwa programming languages mbalimbali wanapokua vyuoni. Ila tatizo ni kwamba wengi wanakosa support ya kuendeleza ujuzi walio nao the...
  11. Smartbrain

    JamiiForums Tanzania Hdd connector for dell latitude E5420

    HDD connector yenyewe ndio hii hapa
  12. Smartbrain

    JamiiForums Tanzania Hdd connector for dell latitude E5420

    Habar zenu wakuu .. Nina laptop dell latitude E5420 nilikua na badilisha hdd kwa bahat mbaya pin mbili zilichomoka kwenye hile hdd connector yake.. Naomba kama kuna mtu anayo connector ya haina hiyo tufanye biashara mm niko dar ...ka connector kenyewe ndo hako kwenye hii pc nlio attachh
  13. Smartbrain

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ku-root Huawei y530

    Toweroot hai root simu yangu 100% ina fanya storage icorrupt
  14. Smartbrain

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ku-root Huawei y530

    Mkuu Mwl. RCT hiyo thread nimeipitia nimegundua inatumia toweroot ..hio app kwangu ina root ila ina corruptisha sd na internal storage so unakua na root access ila huwez kuacces storage
  15. Smartbrain

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ku-root Huawei y530

    Mkuu slave hiyo iroot nimefanikiwa ku install ila hai root simu kila ni press root now ina load afu inastop
Back
Top Bottom