Habarini ndugu
Mi nlikua najiuliza swali kama passport za kusafiria ni haki ya kila mwananchi ni kwanini kuna kaugumu ka kuipata .Hasa linapokuja suala la kutaka kujua safari ya kwanza . Hamuoni kuwa inawabyima haki wale wanaoandaa kwa matumizi ya baadae au dharura ya kwenda nje ya nchi kisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.