Recent content by Smart2014

  1. Smart2014

    Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

    Asante kwa ushauri
  2. Smart2014

    Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    Habari kaka biashara. Ile njia uliyonifundisha ya kutumia mafuta machafu ya kupikia yaliyoshatumika imefanya kazi. Sabuni imefaa. Pia ile njia ya kugeuza sabuni ya Maji kuwa ya Miche kwa kutumia salt deformation pia sio mbaya ila inabidi niendelee na kuiboresha zaidi.
  3. Smart2014

    Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Kilo moja ya nyanya ishafika buku 2 si unajua sikukuu zinakaribia
  4. Smart2014

    Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Nashukuru sana bro. Halafu nilisahau kukwambia, nataka uje utembelee greenhouse yangu niliyojenga ili unipe ushauri wako km nimejenga sahihi. Yale mafunzo yako yamenisaidia nimejenga ka greenhouse kadogo.
  5. Smart2014

    Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Nikutumie email unitumie hiyo ofa maana nilishanunua mafunzo kutoka kwako na ukanitumia zile ofa nyingine
  6. Smart2014

    Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    2000 umesaidia sana watu
  7. Smart2014

    Greenhouse katika video

    Nimefanya analysis ya gharama ulizoweka katika DVD yako uliyoniumia. We ulisema ni 593,600 hivi. Mimi nimepigiana mahesabu na suppler mmoja ambaye imefikia sh. 643,000. But still sio mbaya. Wengine gharama yao ni 2.5m na 5M. So nimekuwa very impressed nawe. Hongera.
  8. Smart2014

    Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Kwenye ishu ya upepo hapo sijui labda muulize mtoa mada labda atakuelekeza
  9. Smart2014

    Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Baada ya kuangalia mchanganuo wa gharama za kujenga greenhouse katika kitabu chako nilikuwa na wasiwasi nazo hasa kuhusu vifaa kadhaa kama vile UV plastics kwa ajili ya kujengea greenhouse. Nikaamua kufanya research kama hii ni kweli. Nilipiga simu kwa rafiki yangu mmoja yuko arusha ambaye...
  10. Smart2014

    Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    We unabishana na watu usiku wote huu, watu wengine sasa hizi wako bwax
  11. Smart2014

    Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Hilo ndio tatizo lenu watanzania jamani. Hamuwezi fanya kitu mpaka mtafuniwe! Wewe kama umeshapewa elimu kwa nini usiende ifanyia kazi? Unataka utafuniwe cha nini? Ni kama mtu unaona mwenzako kafungua duka pembeni yako nawe unataka ufungue duka la namna hiyo hiyo. Unadhani hiyo ni nini? Ndo...
  12. Smart2014

    Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Hata kuspell huwezi, ni jeuri babu. Jinsi unavyoandika ina explain uwezo wako wa kufikiri
  13. Smart2014

    Siri kuu 4 usizozijua wazitumiazo wafanyabiashara wakubwa kuwa juu zaidi ya wajasiriamali

    Mi nadhani fanya hivyo. Maana mi pia nimepitia mafunzo mengi ya ujasiriamali na sijapata info zenye maana maana zote naziona kwenye internet. Ila kitabu chako bado sijaanza kukisoma ila kwa kupapasa macho juu juu naona kuna mambo mengine hatukufundishwa kwenye hizi semina zetu. Na bei yako sio...
Back
Top Bottom