Recent content by Smart Technician

  1. Smart Technician

    JamiiForums Tanzania Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

    Hili karasha linauzwa sh ngapi?
  2. Smart Technician

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara kwa 100m

    Vip bado unapokea wazo? Nina wazo la bidhaa ya kuzalisha, soko lipo. Naweza wasilisha?
  3. Smart Technician

    JamiiForums Tanzania Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

    Cha umeme au mafuta mkuu. Vipo nicheki inbox kama ni serious buyer kweli
  4. Smart Technician

    JamiiForums Tanzania Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

    Hapo wire hizo zinazalishwa hapa nchini au zinatoka nje?
  5. Smart Technician

    JamiiForums Tanzania Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

    Umesema ukweli kabisa hii kitu nlidhani mimi ndio naona ghali
  6. Smart Technician

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya kimkakati ya Ku stimulate uchumi

    Unalosema ni kweli. Ila ni muhimu kwanza kwa kuboresha mifumo ya Taasisi za kiserikali zinazochota hela kabla hujaanzisha kiwanda unakuta mtu akiwa na nia lazima atapita huku kotea Anahitaji kupita kwenye Taasisi kibao zote zinachota hela mfano Brela, Kujisajili Halmashauri, Leseni TFDA...
  7. Smart Technician

    JamiiForums Tanzania Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

    Bei yake imesimama kweli kweli
  8. Smart Technician

    JamiiForums Tanzania Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

    Hij mashine ya kuchapisha mifuko logo nkiipata ntafurahi sana
  9. Smart Technician

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Aibu bandari ya Tanga shehena ya clinker inayoelekea Rwanda imekwama

    Wanyarwanda wanaipekeka wapi?
  10. Smart Technician

    JamiiForums Tanzania Kwa mliowahi kusajili kampuni brela online

    Mbona nlishaanza saiz narekebisha comment wanazotoa
  11. Smart Technician

    JamiiForums Tanzania Kwa mliowahi kusajili kampuni brela online

    Mbona kila mda linaibuka jambo jipya comment nyingi mno wanatoa
  12. Smart Technician

    JamiiForums Tanzania Kwa mliowahi kusajili kampuni brela online

    Tuombe nifanikiwe sajiri na mtaji ukue niweze ajiri
  13. Smart Technician

    JamiiForums Tanzania Kwa mliowahi kusajili kampuni brela online

    Hizo hatua zote ulifanikisha mwenyewe? Ni vitu gani vingine nnavotakiwa kuzingatia ili nisikosee sana
Back
Top Bottom