Habari wana jamvi.,
Kuhusu Paper za CFA bdo hakuna centre wala (KBO) knowledge processing centres in East Africa. Zipo centre mbili tu Africa So far, Ghana na South Africa. CFA examz zimegawanyika katika level tatu.
Mtiani wa level 1 hufanyika mara mbili kila mwaka June na Dec na levels 2 na 3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.