Recent content by Smart Mwaki

  1. Smart Mwaki

    Nina uhitaji wa msichana wa kunisaidia kazi za nyumbani, mimi ni mwanaume na watoto wawili wadogo

    Ndugu kasema msichana sio shangaz [emoji1787][emoji1787] joke
  2. Smart Mwaki

    Mimi ni dereva wa mtandaoni (uber) natafuta mtu wa kuniajiri

    Nilikuwa dereva wa Uber katika Jiji la Dar es salaam kwa miaka minne, kwa sasa sina gari, natafuta mtu ambaye anaweza kuniajiri dereva wake kwa mkataba au njia ya kawaida. Tafadhali Nifikie kwa +255 782050601 ikiwa unatafuta. Asante.
  3. Smart Mwaki

    Natafuta kazi ya uber

    Duuuh Uber una mda gan
  4. Smart Mwaki

    Natafuta kazi ya uber

    Yeah ni sifa
  5. Smart Mwaki

    Natafuta kazi ya uber

    Iyo gari unayo endesha ww mkataba au
  6. Smart Mwaki

    Natafuta kazi ya uber

    Bas una umizwa ndugu now hesabu ni 150 kwa 130 bas
  7. Smart Mwaki

    Mimi ni dereva mzoefu, natafuta kazi ya Uber

    Cheti cha aina Gan unaitaji
  8. Smart Mwaki

    Natafuta kazi ya uber

    We umesikia wapi
  9. Smart Mwaki

    Natafuta mtu anaeuza vitu vya salon (Barbershop)

    Vitanda Vya massage Vya kisasa na imara kutoka u.k pamoja na kiti cha salon Vitanda vipo viwili vyote ni Tsh 600,000 Kiti kipo kimoja ni Tsh 100,000 MAONGEZI YAPO KARIBUNI 0782 050601
  10. Smart Mwaki

    Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Vitanda Vya massage Vya kisasa na imara kutoka u.k pamoja na kiti cha salon Vitanda vipo viwili vyote ni Tsh 600,000 Kiti kipo kimoja ni Tsh 100,000 MAONGEZI YAPO KARIBUNI 0782 050601
  11. Smart Mwaki

    Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

    Unachota unga wake kijiko cha chai kimoja unaweka kwenye majo ya moto! Unakunywa asubui kabla ujala kitu na usiku unapo lala
  12. Smart Mwaki

    Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

    Ndio na huimalisha misuli ya uume
Back
Top Bottom