Mimi ni dereva mzoefu, natafuta kazi ya Uber

Mimi ni dereva mzoefu, natafuta kazi ya Uber

Briann

New Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
2
Reaction score
1
Habari ndugu zangu,

Naitwa Brian naishi Dar es Salaam ni dereva mzoefu wa kazi taxi za online (Uber, Bolt) kwa yeyote mwenye gari anahitaji dereva nilikuwa nahitaji nafasi hiyo, document zote za utambulisho ninazo (vitambulisho muhimu).

Natanguliza shukrani zangu za dhati

Mawasiliano yangu 0683950110
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom