Recent content by Smart Luke

  1. S

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    Naomba mnisaidie kujua shule walopangwa wanafunzi wa Sengerema Islamic Secondary School Kelvin&David Kogo
  2. S

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    Mazingira ni mazuri chakula kipo na wanafunzi wana uhuru sana hata simu hawakatai'
  3. S

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    Habari. Mimi nimepangwa Kisimiri HKL,kama kuna anayefahamu "joining instructions" zake anisaidie na wale wenzangu tulopangwa huko si vibaya tukifahamiana'
  4. S

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    Sijui taratibu za kuhama ila nakushauri ujitahidi kumtoa dogo hapo Nyanduga(si Nyandagu kama ulivyoandika) ile si shule nzuri mama'
  5. S

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    Magu Secondary kuna PCB ndiyo,ni shule ya mchanganyiko wavulana na wasichana ila walimu siyo wa kuwategemea jiandae kusoma tuition'
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    Tafadhali naomba mnisaidie Bumangi Secondary tupo wachache please nisaidieni'
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    Naomba unisaidie kuangalia waliochaguliwa kutoka Bumangi Secondary S.0948 Asante'
  8. S

    JamiiForums Tanzania Chale za waganga wa Kienyeji

    Naomba kuuliza kama inawezekana kufuta chale zinazotokana na kuchanjwa na waganga wa kienyeji na kama jibu ni ndiyo ni njia gani inaweza saidia'
  9. S

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    Huyo Alf**king analeta utumbo kila siku'
Back
Top Bottom