Recent content by Smart Dude

  1. S

    JamiiForums Tanzania TRC: Tumepokea maoni ya Afande Sele kuhusu ratiba ya Treni ya SGR kutoka Morogoro

    Sahihi kabisa; Ili zibalance lazima routes mbili zianzie Morogoro - DSM, DSM - Morogoro; lakini ikitokea routes zikiqnzia Dom - Dar, Dar - Dom; ortherwise ni ngumu sana; na hapo bado zikija routes za mwanza na kigoma miaka ya mbeleni.
  2. S

    JamiiForums Tanzania TRC: Tumepokea maoni ya Afande Sele kuhusu ratiba ya Treni ya SGR kutoka Morogoro

    K Kama haujaelewa basi haujui ulichoandika na kama unajua, haujui umemaanisha nini; any way sawa ninaweza kuifuta comment. No hard feelings
  3. S

    JamiiForums Tanzania TRC: Tumepokea maoni ya Afande Sele kuhusu ratiba ya Treni ya SGR kutoka Morogoro

    Nahisi kama sisi wabongo ni walalamishi sana ma wabinafsi saana. yaani ni kama watu wa moro mnataka route zote zianzie moro tu. Kama routes zikianzia Dar - Dom na Viceversa tegemea routes za namna hii. Alfajiri ikitoka ordinary, saa moja itatoka EMU. Kumbuka ni lane moja hii Muhimu ni abiria...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Makala maalum: Wicknell Chivayo na mtandao wa kimataifa wa utakatishaji fedha, utoroshaji wa dhahabu, na ufadhili wa kundi la waasi la RSF

    Sawa kabisa, lakini sio USD 4 billions kwa nchi kama malawi. Ni sawa na hapa Bongo mtu aseme kuna deals haramu za mtu mmoja tu za TZS trilion 40. Data sio sahihi
  5. S

    JamiiForums Tanzania Makala maalum: Wicknell Chivayo na mtandao wa kimataifa wa utakatishaji fedha, utoroshaji wa dhahabu, na ufadhili wa kundi la waasi la RSF

    Ni kweli Mkuu, USD 4 Billion ni TZS 10.5 Trillion. Hii ni moja ya sita ya bajeti ya Tanzania. Ni karibu mradi wa SGR wote. Ni zaidi ya mradi wa JNHPP. ni karibu 7% ya bajeti ya Malawi. Ukishaona namba za namna hii tu kabla hata ya kuendelea na story hii unajua ni uongo na hekaya za abunuwasi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Misri wana mvua chache sana ila wana pesa nyingi kuizidi Tanzania. Je, watuchimbie mabwawa kama ya JULIUS NYERERE l??

    Kinachofanya Nchi isonge mbele pamoja na mambo mengine ni umri wa utamaduni wake wa kale pamoja na utamaduni, uwezo na maendeleo ya mataifa yanayokuzunguka. Misri imetajwa hata kwenye historia kuwa na hatua za kimaendeleo kabla ya Kirsto na baadaye. Ingekuwa ajabu sisi tungekuwa bora kuliko wao.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Serikali isirudi nyuma: Mfumo wa kukata pointi kwenye leseni usisistishwe, migomo isitumike kuchezea maisha ya abiria barabarani

    Badala ya kujenga hizo barabara; ni bora serikali ijenge SGR;
  8. S

    JamiiForums Tanzania Serikali isirudi nyuma: Mfumo wa kukata pointi kwenye leseni usisistishwe, migomo isitumike kuchezea maisha ya abiria barabarani

    Ni kweli mkuu; Hizo Nchi ulizozitaja zilifanya industrial revolution miaka ya 1800 huko na civilizations ilianza miaka 100, 200 kliyopita. Wamepitia stages nyingi hadi kufikia kuwawajibisha viongozi na makundi ya juu na sisi lazima tuanze. Kimsingi kuna hatua zinapigwa - miaka 10 ilopita bila...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Serikali isirudi nyuma: Mfumo wa kukata pointi kwenye leseni usisistishwe, migomo isitumike kuchezea maisha ya abiria barabarani

    Mkuu, Kama ni mchambuzi wa mambo utagundua huo mgomo sio wa madereva ni mhomo wa wenye mabasi. Wenye mabasi bado hawajakibali kupelekwa mbezi kwa hapa DSM. Imagine juzi nilikuwa naenda Arusha kwanza gari yabkuonfoka saa nne na 45 usiku ilifika stendi saa sita na robo usiku. Ikaondkka saa sita...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Serikali isirudi nyuma: Mfumo wa kukata pointi kwenye leseni usisistishwe, migomo isitumike kuchezea maisha ya abiria barabarani

    Sasa Mkuu, si unabidi tuanze na sisi mdogo mdogo? Unadhani wao waliamka tu overnight wakajikita hawana rushwa? Initiatives kama hizi zikianza huwa zinapunguza rushwa taratibu with time, mifumo, transparency nk nk
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hali ya makato huduma za Miamala ya simu zinatisha, zinatutia umaskini, serikali iliangalie hili.

    Kanibamiza sana huyu jamaa😂😂 ikaniritate kidogo. Lakini mkuu hata mie nilikuwa sijui kuhusu selcom mtu mmoja akaniambia nijaribu.. ni rahisi unaingia unapakua app yao unaregister unanunua bando la mwezi then unaanza kutumia huduma zao. Imagine miamala 150 kwa cost ya 10,500 kwa mwezi? Na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hali ya makato huduma za Miamala ya simu zinatisha, zinatutia umaskini, serikali iliangalie hili.

    Ndio shida ya watanzania tunapenda kulaumu na kushambuli. Kama hujui ungeuuliza. Juzi nilikuwa nyumbani kwetu na nilikuwa natumia selcom bila shida. Nalipa 10,500 nafanya mimala 150 kwa mwezi bila makato ya ziada. Iwe kutuma, kulipia huduma kupitia lipa namba, kutoa pesa na kutoa unatoa tu kwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ikijulikana mahakama ilidanganya kuhusu CDF itaaminika tena?

    Kwani kwenye kesi ya Gachagua Rais Ruto alienda mahakamani? licha ya yeye kuonekana kafanyiwa insurbodination? Politics zinaapply kipolitics kila sehemu. Shida hatufatilii vitu
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi kashfa zinazoendelea, itakuwa ngumu sana kiongozi Mchaga kukubalika

    Sidhani kama siasa za Arusha zinaangalia CDM tu - na hapa ndiyo sikubaliani na hoja yako. NCCR imewahi kubeba jimbo la Arusha, TLP halikadhalika - wakati TLP ikisuasua sehemu nyingi ila Arusha ilikuwa ya moto mno - kumbuka story za Lema na TLP yake kabla ya kuhamia CDM. Ninafikiri kosa...
Back
Top Bottom