WATCH THESE 3 guys i hope utajifunza vitu vizuri na vikubwa kwenye maisha yako
-Vusi thembekwayo
-Grant cardone
-Robert kiyosaki
they teach ...n not hyping
content kubwa ipo youtube
pia kama ni msomaj wana vitabu vyao
thank me later
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii jf mkuu ...hakuna ktu nafahamu juu yako na ww unafahamu juu yangu ...dont b quick to judge ..
anyway seems your a die hard fan
keep up with the good work n have a nice day
Sent from my iPhone using JamiiForums
sio Mungu wala malaika uyo Ontario wako,Akifanya ndivyo sivyo atakosolewa tu , hamna anaebisha kwamba hajafanikiwa ni manipulation yake kusema anasaidia maskini kwa kula pesa zao ..hio ndio weng wapo against ...ana post madini NDIO ..lakini janja janja zake za ku manipulate watu hatutakubaliana...
[emoji23][emoji23][emoji23]its the sad truth though ...ukifatlia kiundani hamna tunako kwenda as a continent ...cha msingi pigania ugali wako mwenyewe uishi maisha mazur na usaidie kizaz chako ...kuna alot to be done ili afrika iwe mbele which ni vitu vigumu sana kama Africa kuwa nchi moja ni...
hizi ni airpods 1:1 kwamba ni highest replica
kuanzia sound ,build quality na kila ktu ina function kama original
madukani znauzwa 150k ...karibu online shop yetu kwa discount kubwa
tupo dar :cash on delivery
0713358355
Sent from my iPhone using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.