Recent content by smanyonyi

  1. S

    DPP ashauriwa kukamilisha upelelezi haraka wa Kesi ya Mashekhe wa Uamsho au kuiondoa kesi hiyo Mahakamani

    Zanzibar Kuna mahakama kuu kwanini kosa lifanyike Zanzibar kesi iletwe Tanganyika, huu ni uonevu kwa kuwa walijua wakiwashitaki Zanzibar watapata dhamana kwa kuwa Zanzibar kesi zote zina dhamana, huyo unayesema alikuwa Rais muislam ni muislam jina alikuwa anaongozwa na mfumo Katoliki
  2. S

    DPP ashauriwa kukamilisha upelelezi haraka wa Kesi ya Mashekhe wa Uamsho au kuiondoa kesi hiyo Mahakamani

    Unasema wanyongwe wewe unao ushahidi wa kuwatia hatiani, DPP ameshindwa kwa miaka minne kukamilisha ushahidi, kama unao huo ushahidi mpeleke, sio kuleta ujinga kuwaonea watu kisa Dini yao, kosa gani lisilothibitishwa
  3. S

    Natafuta partner katika biashara ya kusambaza maji maeneo yenye uhaba wa maji

    Siunaona nami natafuta muwekezaji mkuu, ajira bado
  4. S

    Natafuta partner katika biashara ya kusambaza maji maeneo yenye uhaba wa maji

    Hapana, kwa eneo nililopo kuna watu tayari wana mitandao mikubwa wamesambaza maji kwahiyo kupata wateja wa hivyo ni ngumu.
  5. S

    Natafuta partner katika biashara ya kusambaza maji maeneo yenye uhaba wa maji

    Huu ni tofauti na huo unaosema biashara hii hapa Dar kama ujabahatika kukutana na magari yamebeba matank ya maji basi tembelea maeneo ya mbezi, kimara, kibamba, mbezi salasala utakutana nayo, huu sio mradi wa kusambaza mabomba bali unasambaza maji kwa kutumia gari kwenye maeneo yenye shida ya...
  6. S

    Natafuta partner katika biashara ya kusambaza maji maeneo yenye uhaba wa maji

    Naomba kuwashirikisha hii fursa, kwangu nina kisima kirefu chenye maji mazuri sana yaani yamepoa hayana test ya chumvi kabisa. Nimeona kuna fursa kubwa kwenye biashara ya kuuza maji, kama yupo mtu mwenye uwezo wa kuwekeza kwenye biashara hii naomba aje inbox. Nini kinaitajika: 1.Kujengea mnara...
  7. S

    TANESCO wahukumiwa kuilipa IPTL Tshs Billion 700 ikiwemo Tshs Billion 306 zilizochotwa katika Account ya Escrow

    Wote wezi tu , kwani Tilioni na bilioni hipi kubwa , huyu deal moja kapiga tillioni 1.5 na JK ndio hizo billioni 700. Muhimu ni hili kundi la wezi wa CCM kuondoka tuanze upya kamwe msitegemee kupata bikra kwenye wodi ya wazazi.
  8. S

    Rais Magufuli awaalika viongozi wakuu wastaafu wote. Kufanya nao mazungumzo Julai 03, 2018 Ikulu Dsm

    Hawa jamaa siwalikuwa wanawashwa ,je hule muwasho umeshaisha, au ndio maji ya shingo
  9. S

    Job Ndugai kauli yako Bungeni ni ishara kuwa yatosha sasa!

    Nitaamini kuwa amerudi kwenye msitari kama atakubali bunge liunde tume ya bunge kuchunguza tuhuma za kupotea na mauaji ya watu kibiti na sehemu nyingine nchini
  10. S

    Job Ndugai kauli yako Bungeni ni ishara kuwa yatosha sasa!

    Nadhani amemsahau Ndugai sio hana maana kabisa ,ataletewa majibu mepesi na maagizo kutoka juu mambo yanaisha
  11. S

    Job Ndugai kauli yako Bungeni ni ishara kuwa yatosha sasa!

    Ahswa mkuu huyu jamaa atakavyokuwa leo sio kesho
  12. S

    Kama Hii Ndio Situation ya Bomoa Bomoa ya Ubungo na Kimara Bila Fidia, Then Faraja Pekee ni Kuwa, Watafidiwa Tuu!.

    Hili dude sio zima kiakili na ushahidi hupo, kama tupo serious turudi nyuma ktk maisha yake na mtakuta record hizo he is mental disorder
  13. S

    Baada ya zitto kufukuzwa hakuna mwingine ndani ya chadema mwenye nia ya kugombea uenyekiti?

    Hilo ndio tatizo ninaloliona hoja zote zinajibiwa kwa matusi au kuwaambia watu ni CCM baadala ya kujibu hoja za msingi. Kama waraka wa zitto umeonekana tatizo sijui kama kuna mwingine atanyanyuka kugombea u-mbowe mpk atakapochoka mwenyewe
  14. S

    Said Arfi - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ajiuzulu rasmi!

    Labda nchi ya kusadikika lakini kwahili la Zitto tusubiri tuone lakini jahazi litayumba sana
Back
Top Bottom