Recent content by SLTMTTR

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa Zitto: Amnesty International waijia juu Polisi

    Tuondolee roho mbaya hapa.....angekuwa ametoa mashudu kwenye maelezo yake huko polisi....bila shaka, angewahishwa mahakamani ili kesi isikilizwe na afungwe jela haraka sana............
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa Zitto: Amnesty International waijia juu Polisi

    Imetrend sana twitter....hapa JF ma-greatthinker hawamthamini mwana JF mwenzao na mtetezi wao!.....hatahivyo, issue za kulazwa rumande huwa hazi-trend kama watu kutekwa...........
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa Zitto: Amnesty International waijia juu Polisi

    Una uhakika gani hajatoa ushahidi wa alichoongea!, kama hana ushahidi si ndiyo mumuwahishe mahakamani na mumfunge jela. Analala polisi siku zote hizo ili iweje?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa Zitto: Amnesty International waijia juu Polisi

    #JusticeForZitto#.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Lema: Iundwe tume huru kuchunguza mauaji Kigoma

    Kudos Dr. Lema, umetema madini.......yeyote mwenye upeo na anayelitakia mema taifa hili amekuelewa mkuu.....
  6. S

    JamiiForums Tanzania ACT-Vijana: Tumepata taarifa upo mpango wa kumdhuru Zitto usiku wa leo

    Nimefuatilia mjadala wa uchumi leo. Hakukuwa na ushangiliaji kutoka kwa wasikilizaji. Bali waliotoa mada na kuchangia waliegemea kusifu badala ya kuchambua na kutoa ushauri fasaha (hatahivyo, profs Mukandala and Shivji na Padri Katima walifanya uchambuzi kiasi chake)...Mara baada ya mdahalo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Acheni kujazana mawazo na fikra za kipumbavu,bado yupo mpaka 2025 na hatujui wenda ni zaidi

    Mkuu Britannica, nimekusoma tangu jana. BM4P imekupanikisha sana tu. Umeanzisha thread kadhaa kuhusu hili. Unaficha panic yako kwenye vitisho!. Cheers.....
  8. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Kama ndio hivyo, basi huu ni upepo tu unaopita....
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Kila anayemtoa Membe kwenye reli, point kubwa ni 'vitisho'. Linganisheni qualities za hawa wawili kwa hoja na sio vitisho vingiiiiii hivi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

    Purely talented, nani unayemuona anafaa na anatosha kuwa mgombea wa chama kwenye nafasi ya uraisi wa jamhuri mkuu?
  11. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

    Mbona unamtisha sana. Kutumia fursa ya kidemokrasia ndani ya Chama ni 'uhaini' na kosa la 'jinai' au?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Nimepigiwa simu niripoti Kituo Kikuu cha Polisi Arusha

    Nimetumwa na nani? Unajishuku tu! ID ina shida gani hii hadi niigope. M.c.nge. wewe......
  13. S

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Nimepigiwa simu niripoti Kituo Kikuu cha Polisi Arusha

    Mbona hiyo ndimu ya jicho siioni! Kwa vitusi uchwara ulivyovielekeza kwenye anonymous ID....
  14. S

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Nimepigiwa simu niripoti Kituo Kikuu cha Polisi Arusha

    Matusi laini kabisa haya.....wala hayanitingishi....sijaona ncha kali yoyote hapo........
  15. S

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Nimepigiwa simu niripoti Kituo Kikuu cha Polisi Arusha

    Kada na mbunge wa chadema mwenye akili za kike. Haya tukana.....
Back
Top Bottom