Hatua za serikali hazikuwa makini bali ziliweza kuonekana kama miscalculation ya kisiasa.
Ziliharibu taswira ya Tanzania kwa wawekezaji zikapunguza uwekezaji mpya na mwisho wa siku Barrick akaingia si kama compromise ya ushindi wa Tanzania bali kama rescue ya uwekezaji uliokuwa umevurugika...
Utaratibu uliopaswa kutumika ni
Kutuma Notice of Renegotiation rasmi kwa mujibu wa mkataba, Pili
Kufanya Joint Review Committee Serikali na Kampuni na tatu
Kutumia independent valuers na auditors kuthibitisha hasara au utajiri uliopotea.na mwisho kama Endapo hakuna makubaliano ilitakiwa kwenda...
mikataba ya rasilimali haina jina tu bali ina structure and elements Hata hivyo kusema kwamba Lissu hajawahi kugusa kabisa muundo wa mikataba si sahihi Katika mijadala yake bungeni na kwenye maandiko yake hasa akiwa Waziri wa Nishati kivuli mara nyingi amekuwa akirejea tofauti kati ya production...
Magufuli alipiga marufuku export ya makontena ya dhahabu, akaweka misururu ya kodi, na kuforce renegotiation. Lakini kisheria, hizi hatua zilitafsiriwa kimataifa kama regulatory interference kitu ambacho Lissu alikuwa akionya mapema.
Kwa hiyo hoja kwamba “Magufuli alipata win ni ya kisiasa, sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.