Kweli kabsa.. imagn leo cku ya nne nmetoka kuoga.. mara nkaona mama jirani ananiangalia kwa jicho la mapenzi paka nkashangaa huyu vip.. baadae nkawa nmekaa kwangu mlangoni, majirani wangu wote wawili wakanifuata mahali nlikua, tukaja piga ctory na kucheka sana paka ucku ulipoingia.. ni kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.