Kile kimya kirefu cha Dr. W. P. Slaa kilichokuwa kinasubiriwa kuvunjwa na yeye mwenyewe pale Serena leo tarehe 01-09-2015 mwenye habari yoyote na maelezo ya Dr. atujuze,
Kwa fadhila za mwezi huu mkutuku wa Ramadhani na fadhila zilizomo ndani ya masiku haya kumi la mwisho wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani tunakuomba mwenyezi Mungu uwanusuru Mashekh wetu wote waliotangulia mbele ya Haki wape wepesi katika makaburi yao na siku ya mwisho uwaongoze katika njia iliyooka...
Siku zote tutamkumbuka saaana Shekh Omary hasa kwa wale tunaoswali katika msikiti mkubwa wa Maggomeni Kichangani tunamuomba mwenyezi Mungu awanusuru mashekh wetu wote waliotangulia mbele ya Haki awaepushe na adhabu ya kaburi, awaepushe na adhabu kali hiyo siku ya mwisho ya kiyama, Waislamu siku...
Ujumbe wako ni wa kweli kabisa na hauwezi kupungunga wabunge wetu huchukua siku nzima kujadili kitu kama hicho ni aibu sana mi hufikiri huenda wakipeleka muda ili siku iishe wasaini posho basi maana kiakili haiji kabisa.
Mdahalo huu ni wa muhimu sana ila mi napendekeza zaidi upande wa chama cha Chadema awepo Dr. Slaa na Mnyika halafu upande wa pili awepo Mh Zitto na Dr. Kitila watanzania tutasiikia mengi sana yalipo ndani ya hawa watu.
Kutokana na kinachoendelea leo hii katika chama cha upinzani CHADEMA chama ambacho kinapendwa na zaidi ya vijana asilimia 85% hata Tanzania leo hii inakatisha tama ya kuendelea kuwa mwanachama wa chama hiki cha CHADEMA. Ukisoma kwa umakini makala mbali mbali yanayoandikwa na aliyekuwa kiongozi...
Mi binafsi nafikiri sasa ni wakati mzuri kabisa wa viongozi wetu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kukutana na kukaa chini kwa pamoja na kuondoa tofauti iliyopo basi ndo jambo la msingi kuliko haya malumbano yanayoendelea ya kila kiongozi kutaka kuonekana yeye ni bora au nimuelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.