Recent content by Skythelimit

  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ninaomba na kuishauri Tume Huru ya Uchaguzi iachane kabisa na mpango wa kugawa majimbo.

    Kwa akili za ccm ni ngumu sana kukuelewa maana akili zao zote zipo kwenye kuwaza posho na kushibisha tu vitambi vyao bila kujali maslahi ya taifa
  2. S

    JamiiForums Tanzania CCM inabidi ijifunze kufanya siasa za uwazi kuvutia wanachama wapya

    Mwaka 2025 tutaona mengi
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mbinguni kuna amani na furaha ya milele. Ndugu tuweke malengo ya kuishi milele kwa Mungu

    Yesu kristo awe njia na uzima wetu.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Balance of power, CHADEMA wajifunze kutoka kwa chama kikubwa kama ANC la sivyo watapotea

    Umaskini na rushwa kwa baadhi ya viongozi wakubwa wa chadema ndio vinaenda kukiua chama hicho.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nipeni Urais wa Tanzania muone namna gani CCM wametuchelewesha!

    Wewe si ulikuwa chawa wa kumsifia sa100 na vimradi vyake uchwara, kimekupata nn tena hadi usimwamini katika kutekeleza hayo unayo tamani kufanya?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kama ningekuwa kwenye benchi la ufundi la klabu ya Simba SC ningependekeza kikosi hiki

    Simba SC ni timu ambayo imeshajijengea jina kubwa barani Afrika hivyo ukubwa huo unatakiwa kuonekana kwenye kila mashindano inayoshiriki. Kuna wachezaji ambao hawasitahili kuanza kwenye first eleven ya mwalimu, baadhi ya wanyezaji hao ni; Balua, Shomari Kapombe: ( amekuwa uchochoro wa adui...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Azam TV hawataonesha tena Vitasa, sababu ni mali ya Mwamakula

    Huyo mwamakula hana haki ya mchezo mzima wa masumbwi, kama ni haki ya jina azam wanaweza kutumia jina lingine na mchezo wa masumbwi ukaendelea kuoneshwa. Labda iwe ni suala la udini wa mmiliki.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa taifa la Tanganyika

    Acha unafiki basi, unawezaje kusema Tanganyika ilikufa angali Zanzibar bado ipo na inajitambulisha kwa utaifa wake. Yaani Zanzibar iliyoungana na Tanganyika kuipata Tanzania iwepo ila Tanganyika useme imekufa. Labda kama umekufa wewe, sawa.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa taifa la Tanganyika

    Hayo ndiyo yanatukwamishwa, mpaka siku wakijikuta Tanganyika ni koloni la zenjibar ndiyo yatabaki yanajuta
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa taifa la Tanganyika

    Majirani wetu kama Kenya, Uganda, Zanzibar, Malawi, DRC n.k wasipokuwa na amani hata sisi Tanganyika tutatereka kuanza kupokea wakimbizi.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa taifa la Tanganyika

    Kwa kuwa wenzetu Zanzibari wameamua kuwa na kila kitu chao kinachowatambulisha kama taifa nadhani na sisi watanganyika ni muda wa kuanza kufufua matumaini ya kuwa na utambulisho wetu kama taifa. Bendera tunayo; Wimbo wa taifa la Tanganyika; Nchi yangu nzuri Tanganyika, Amani, Upendo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere atwaa Tuzo ya Mwandishi Bora ya Vitabu Barani Afrika 2024

    Simple tu na wewe tafsiri vitabu vya wengine upewe tuzo. Jaribu kuheshimu jitihada za mtu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ni lipi tumshauri Tundu lissu kati ya haya ?

    Kutoa chama dola madarakani ni mapambano yasiyo ya kitoto. Mbowe akae pembeni Tundu Lissu na John Mnyika pamoja na John Heche waingie mzigoni. Watapita kama wale marais wa Senegal.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa wanyama: Simba na Dubu nani mshindi endapo wakikutana porini?

    Rudi kwenye uzi picha zipo
Back
Top Bottom