JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
Natafuta mume
Huwa nashangaa sana kuona msichana tena mkristo kama huyu anakaa nakuchukua Simu yake na kuandika eti anatafuta mume lol!! Kweli hofu ya Mungu imetoweka na tumemsahau sana Mungu kumuona kwamba yeye hawezi kutusaidia kitu chochote, kwamaana kama we we in mkristo kweli ungepiga magoti na kumuomba...