Recent content by Sky-catcher

  1. Sky-catcher

    JamiiForums Tanzania Nauza mahindi ya njano (yellow maize)

    Sawa. Ni bei nzuri pia. Karibu.
  2. Sky-catcher

    JamiiForums Tanzania Nauza mahindi ya njano (yellow maize)

    In Ingia hapo google check taarifa za yellow maize/corns.
  3. Sky-catcher

    JamiiForums Tanzania Nauza mahindi ya njano (yellow maize)

    Hakuna shida mkuu wangu. Hebu nipe bei yako mkuu. Pengine naweza kufanya biashara na wewe.
  4. Sky-catcher

    JamiiForums Tanzania Nauza mahindi ya njano (yellow maize)

    Nauz Nauza kwa kilo na kwa Tonne. Kilo nauza Tsh 1990 rejareja, na sh. 1610 jumla. Nipo Dar, karibu.
  5. Sky-catcher

    JamiiForums Tanzania Nauza mahindi ya njano (yellow maize)

    Nas Nashukuru kwa mchango wako BABA TUPAC. Natumaini sasa umeuliza. Bei kwa reja reja kilo ni sh. 1990, na jumla ni sh. 1610. Karibu sana.
  6. Sky-catcher

    JamiiForums Tanzania Nauza mahindi ya njano (yellow maize)

    Hapana mkuu. Haya sio ya bisi, ni kwa matumizi ya unga, na mengineyo. Nipo Dar, karibu sana.
  7. Sky-catcher

    JamiiForums Tanzania Nauza mahindi ya njano (yellow maize)

    Napatikana Dar, bei kwa kilo rejareja ni sh. 1990 na jumla ni sh. 1610. Karibu.
  8. Sky-catcher

    JamiiForums Tanzania Nauza mahindi ya njano (yellow maize)

    N Nauza kwa kilo na kwa Tonne. Rejareja kilo sh. 1990, jumla kilo sh. 1610.
  9. Sky-catcher

    JamiiForums Tanzania Nauza mahindi ya njano (yellow maize)

    N Nipo Dar.
  10. Sky-catcher

    JamiiForums Tanzania Nauza mahindi ya njano (yellow maize)

    Mnunuzi au wanunuzi wanaweza kunicheki tufanye biashara ya mahindi ya njano yakiyolimwa kwa kuzingatia mahitaji ya binadamu. Purely organic. Yamehifadhiwa bila madawa. Nitafute kupitia namba 0717 618 074.
  11. Sky-catcher

    JamiiForums Tanzania Nauza mahindi ya njano (yellow maize)

    Mnunuzi au wanunuzi wa mahindi ya njano kwa ajili ya matumizi ya binadamu anitafute nina mzigo. Mahindi yamelimwa bila ya mbolea za viwandani, dawa za kuulia wadudu, na yamehifadhiwa bila madawa. Karibu, piga simu sasa 0717 618 074.
  12. Sky-catcher

    JamiiForums Tanzania Mwenye ujuzi wa kutoa Apple id iPhone 4

    Nina Iphone 5S nilinunus mtandaoni kumbe iko locked na Icloud. Sasa namna ya kufahamu kama imeripotiwa ni ipi mkuu?
  13. Sky-catcher

    JamiiForums Tanzania Mwenye ujuzi wa kutoa Apple id iPhone 4

    UNAJUAJE KAMA IMEKUWA REPORTED??
Back
Top Bottom