Recent content by Skp2ole

  1. Skp2ole

    Machache kuhusu filamu za ngono Marekani

    haaaa haaaa sasa mm nimeagalia leo balaaa
  2. Skp2ole

    Machache kuhusu filamu za ngono Marekani

    Ndo maana ndungu zetu wakienda kwao wanateseka sana hata kufanyiwa vitendo vibaya kama hivyo mm naona .sisi ni wavivu tu na wambea hata unafiki umetujaa bila kusahau wivu na kutopendana basi lah! tungekuwa mbali sana kwa maendeleo
  3. Skp2ole

    Machache kuhusu filamu za ngono Marekani

    Kwahiyo sisi huku Africa tunatania tu kwamba kuna kuagalia ama kuigiza picha za ngono
  4. Skp2ole

    Serikali (TAKUKURU) yakamata Tani 4,900 za Sukari iliyofichwa Mbagala na Tabata jijini Dar

    mm bado natafakari hiyo sukari na uhuru wa kibiashara free tred in capitalism world
  5. Skp2ole

    Rais Kikwete azungumzia kauli za Magufuli kuikosoa Serikali

    Kabisa hayo ndo mabadiliko mh Jk anayo yasemea tumuunge mkono kufanya mabadoliko
  6. Skp2ole

    Mwanza wamuomba Slaa kufanya kongamano ''okoa nchi kataa ufisadi'' Nyerere mpya azaliwa

    Hata mfanyaje hatutawaelewa eti wasomi ni polepole dk slaa na sita +mwake haaa mbona msimwite na Mh Lisu Mh safari Benson na kitila mkumbo na washadidi kama machali kafulila zito nyie vp bahna hebu mtuache bahna kila mtu anaakili yake na amini yako na mm yangu ukawa ndo kila kitu kwangu
  7. Skp2ole

    Edward Lowassa: Msilalamike, piga kura kuing'oa CCM

    Kabisa mm napiga kura kumtoa adua yangu ccm
  8. Skp2ole

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Yote 9 kumi lowasa anapata kura yangu
  9. Skp2ole

    Ajali Arusha: Trafiki Saba, wanasurika kifo, gari la Polisi lagongwa

    Wakati mwingine hawa nawa wanazingua sana mishe trafk wanapenda sana hela bahna mda mwigine dereva anajikuta tu kajiogeza na kutokea ya kutokea ila si kwa hiari yake
  10. Skp2ole

    Kada Mwingine Wa CCM Ajitokeza Kupambana Na LEMA Ubunge Arusha Mjini.

    Futa kabisa hiyo akili mh laizer ila mm nasubiri kula kwa jirani na kurudi kulala kwetu
  11. Skp2ole

    Kubadilishwa kwa njia na vituo vya magari katika Jiji la Arusha

    Bahati yao mkuu wa mkoa mkuu wa wilaya R t o wote ni watu wa kuteuliwa maana wagekuwa wa kupigiwa kura mwaka huu wagejuta kutufahamu tuu na Meya naye sijui anafanya nn eeehh Mungu tuonekanie wakazi wa jiji la Arusha
  12. Skp2ole

    Kubadilishwa kwa njia na vituo vya magari katika Jiji la Arusha

    Nakuambia hapo tu ndo napopata kichaa ikifika jioni utatamani kutembea kwa miguu ama boda ila tuombe tu majibu kwa wahusika maaana najua wapo humu kabisa mollel
  13. Skp2ole

    Kubadilishwa kwa njia na vituo vya magari katika Jiji la Arusha

    HOPECOMFORT Ndo msimu huu na makonda wa jiji la Arusha akili zao zinawatosha wao tu yaani mm nahisi bora hadhi ya jiji liondolewe mpaka tutakapo kuwa sawa maana hata swala la usafi bado sana pita kilombero pale kwenye taa maji yanayotiririka pale car wash yananuka balaaa pita crokoni mjini...
Back
Top Bottom