Mimi ni dereva wa malori ya masafa marefu naendesha gari kwa kuzingatia sheria za usalma barabarani, , kwa kauli mbiu yangu ya fika salama rudi salama mkeo, watoto ndugu jamaa na marafiki wafurie kukuona upo salama,
Hivyo vipimo ni vya wizi mimi nawashauri madalali na wauza viwanja tumieni vipimo vya mita kuliko futi na kiwanja kisipungue chini ya mita 20x20 kinakuwa kiwanja chenye mvuto mzuri na ushawishi kwa mteja lakini futi MTU jaelewi haraka!!
Kwa ushauri wangu kwako kama unampenda ongea nae kimapenzi taratibu muulize akueleze ukweli kama ashawahi kufukuliwa O achana nae muambie kabisa nakuacha kwasababu umeifuta nafasi yako ya kwenda mbinguni siku ya hukumu ila ikiwa hajawahi kufukuliwa O kaa nae ongea nae mpe fact kwanini hupendi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.