Recent content by SJUMAA26

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Safety Shoes/Boots Haraka!

    Dar
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Safety Shoes/Boots Haraka!

    Ndiyo
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Safety Shoes/Boots Haraka!

    Wadau, Kama kuna mtu yeyote anayeuza genuine safety gears hasa viatu naomba ani-pm haraka!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa ACT Wazalendo Bariadi, aliyetoweka apatikana

    Acheni kick zisizokuwa na kichwa wala miguu, Baneni ndio mtaa gani huko Bariadi? Mnadhani humu wote ni vilaza kama nyie Wahuni na Wasaliti wa Mabadiliko?!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Alinipa penzi nimwingize kazini, sasa ananitishia

    Mkuu, hizo ndio products za BRN!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Alinipa penzi nimwingize kazini, sasa ananitishia

    Hii ungepeleka kwenye gazeti la Ijumaa Wikienda ungeuza sana!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mgombea Ubunge wa CCM Kanda ya Ziwa kupokelewa UKAWA ijumaa

    Una umri gani wewe? Hivi ulishawahi kuiona, achilia mbali kuisoma, Katiba ya JMT?!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Afadhali umenisaidia kumuelimisha huyo "materialistic partner"
  9. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Mbona hufiki? Au umekumbwa na foleni?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki

    Mawazo yamekuzidia? Kama ni kubadilishana mawazo hebu niambie mimi ni mawazo gani hayo yaliyokulemea name nikuambie ya kwangu halafu tuone namna gani tunaweza kubadilishana hayo mawazo yetu huenda tukapata nafuu!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Karibu!
  12. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Anzisha uzi wako mkuu, hapa umekosea njia!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Mwambie siku akiwa tayari kuwa na mtoto akutafute muendelee....
  14. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Usijali kiongozi
  15. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Hata wewe pia unakaribishwa!
Back
Top Bottom