Recent content by siyumwe

  1. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kufa

    kuendelea kuishi pia sio guarantee kama kila kitu kitakuja kukaa sawa pia
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kufa

    You may not start a conversation with the following recipients: Mshana Jr. ujumbe ninao pata
  3. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kufa

    Kuna mda napita road na wish hata mtu anisukumize kwenye barabara nikanyagwe na gari nife Ama nikipita Darajani atokee mtu anisukume nianguke chini ya daraja nife At this point sion umuhimu wowote wa kuendelea kubaki hai ikiwa kila nachogusa kinafeli I don't wish to see 2023 hope this one will...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika

    Nimejifunza mkuu, in short nmejifunza mengi sana kutoka kwa niliyopitia
  5. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika

    Shukran mkuu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika

    Haha! Nilimjibu mkuu huenda alikua anataka kujifunza kitu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika

    Nmekuelewa mkuu ila ukisoma vizuri hapo utaona kua hilo tukio lilitokea mwaka jana, mwaka juzi kwa maana ya 2019 October ndo niliweka 90% ya hela yangu yote kwasabab nilikua nmeshakaa kule sana hvyo nilijua mzunguko wake Mwaka Jana mwez wa 1 ndo nikarudi tz nta attach picha ya muhuri wa custom...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika

    Shukrani mkuu siku moja nikiweza kuinuka na kuanza tena ntakutafuta nikupatie japo pair moja, Karibu sana
  9. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika

    Shukran mkuu, ukitoa Mungu kitu kingine ambacho inabidi tukiamini 100% ni KIFO tu kiongozi kwamba kuna siku moja tu lazima TUFE
  10. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika

    Ok mkuu njoo PM nitakupa kila details nnayoifahamu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika

    kwas Kwasabab sikua mbele ya muda mkuu ili kujua nn kitafata pia faida niliyokua naipata nilikua nairudisha kwenye biashara ili ikue zaidi
  12. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika

    Sipo hapo kwasasa, kwann wewe umeshindwa kuandika jina lako halisi na kuweka picha yako ?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika

    Sio kweli
  14. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika

    Shukrani boss
  15. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika

    Shukran sana mkuu binafs jamii forum naiheshim sana humu napataga nondo nyingi sana hata wazo langu la kutoka nje ya tz nilipata huku pia nikalifanyia kazi
Back
Top Bottom