Recent content by Siyabonga101

  1. S

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Anatafutwa kwa kutupa watoto

    Ukisoma Uzi kwa makini na utulivu hayo yote uliyouliza mleta mada aweyaweka bayana mkuu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Anatafutwa kwa kutupa watoto

    Wanawake wanaowalea watoto peke yao (Single mothers) wanatakiwa kupata msaada wa tiba ya akili na ushauri nasaha haraka iwezekanavyo pale anapoonyesha dalili za kukata tamaa ya maisha. Maana mwisho wake maamuzi huwa ni ya ajabu sana na kusikitisha. Haya matukio ya ukatili wa kina mama kwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yazidi kuzama; Diwani kata ya Namichiga, Ruangwa Bwana Ndute ajiuzulu na kujiunga CCM

    Hongera kwa kujitambua Mh. Diwani. Habari za jioni kamanda? mrangi.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Siasa mufilisi za Mbowe za kuchochea vurugu atabakia mwenyewe barabarani na FFU

    Ni dhahiri ninajibishana na Kamanda. Utakapostahmili kujenga HOJA bila kutumia kejeli, matusi, jazba na mengineyo nijulishe ili tuendelee na huu mjadala kamanda.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Makamanda huu ni muda muafaka kuwaomba radhi Prof Lipumba na Dr Slaa,. Mbowe ndio wa kulaumiwa

    If it is, why bothered then!!????
  6. S

    JamiiForums Tanzania Siasa mufilisi za Mbowe za kuchochea vurugu atabakia mwenyewe barabarani na FFU

    Ukiweka ushahidi wa hayo uliyoandika itapendeza zaidi. Mimi niliyokueleza yako wazi kwenye Public records. Je hizi shutuma zako tunazipata wapi kwa uthibitisho zaidi kamanda!!???
  7. S

    JamiiForums Tanzania Abubakary Liongo: Taarifa zinazosambazwa kuhusu ziara ya Mzee Lowassa Ikulu sio rasmi kutoka ofisi ya Lowassa

    Tehe tehe....watasema ni roboti limepandikizwa. Hawashindwi hawa mkuu.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Abubakary Liongo: Taarifa zinazosambazwa kuhusu ziara ya Mzee Lowassa Ikulu sio rasmi kutoka ofisi ya Lowassa

    Mtu aliyekuwa na tabia ya ulaghai - MUONGO. Jitu lililopitiliza na kukubuhu tabia za Muongo - LIONGO.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM, Musukuma kumtukana mbunge wa CHADEMA (Lema) ni sawa?

    Msukuma na Lema ni level moja kwa Cheo na upayukaji. Hapo ngoma ni suluhu hakuna mshindi. Msukuma ameeleza mtazamo wake kwa upeo wake na Lema ajibu kwa mtazamo wake. Vyombo vya Dola vina majukumu mazito zaidi ya hili suala husika.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Siasa mufilisi za Mbowe za kuchochea vurugu atabakia mwenyewe barabarani na FFU

    Mngezia kwenye Chama chenu kwanza kuweka sawa; a.) Katiba Mpya ili kuweka ukomo wa Mwenyekiti wa Chama (Taifa). b.) Muwe na Tume Huru ndani ya Chadema ili kuepuka kuteua MAHAWARA na madada wa viongozi wa Chama kwenye nafasi za Ubunge (Viti maalum). (c.) Chadema kabla haijapinga UDIKTETA nje ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA mpaka tutakapoona vinginevyo

    Ukipevuka utashtuka.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Siasa mufilisi za Mbowe za kuchochea vurugu atabakia mwenyewe barabarani na FFU

    Kama Mh. Rais alivyokuwa Ajenda Chadema.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA mpaka tutakapoona vinginevyo

    Hizi ndio akili za "Think tank" wa Chadema!!!!!!! Kuna safari ndefu sana kwa kweli. That being said, unamaanisha ya kwamba CCM nayo Itaendelea kuwa Chama tawala mpaka hapo watakapoona vinginevyo! Tuliza saburi dawa ikuingie kamanda..
  14. S

    JamiiForums Tanzania Siasa mufilisi za Mbowe za kuchochea vurugu atabakia mwenyewe barabarani na FFU

    Ndio uwezo wao wa kufikiri na kuchanganua mambo ulipoishia hapo mkuu. Wao wako vizuri sana kwenye Matusi, kejeli na Uchochezi uchwara. Bila kusahau kufuja hela ya walipa Kodi (RUZUKU) kwa matumizi yao binafsi. Pia kuteua nafasi za Viti maalum (Ubunge) kwa mahawara zao.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Siasa mufilisi za Mbowe za kuchochea vurugu atabakia mwenyewe barabarani na FFU

    Busara watatoa wapi hao mkuu? Utovu wa nidhamu umewajaa kutwa kutukana watu wenye mtazamo tofauti na mitazamo yao ya KIHUNI.
Back
Top Bottom