Wadau HTC yangu inatumia EDGE kwenye upande wa network sasa kunajamaa ameniambia kuwa naweza kuibadilisha ikatumia 3G kwa kui root
Msaada wenu unahitajika kakita kufanya hii process kama inawezekana
Habari.
Siku hizi wa Tanzania tumepiga hatua kubwa sana katika ushirikiano kijamii na moja ya hatua iyo ni kujiunga pamoja ktk vikundi ambavyo vina jihusisha na shughuli za ujasilia mali.
Lakini kuna shida moja mm ambayo nimeiona nayo ni ukosefu wa ujuzi juu ya swala la Faida, Hasala na...
Ni idea nzuri, ila mm nina penda kushauri kwa anejua faida na hasala, changamoto N.K za hiv vikundi aorodheshe apa ili maradi kila mtu ajue na ajipime mwenyewe kama anaweza kweli ku mudu kuwa kwenye kikundi
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Even us TZ people we can do unique ideas but only I seen many People lack Seriousness, commitment, Hard working
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Manufaa ya kuwajengea kuku banda la kisasa
1. Hulinda kuku dhidi ya Halimbaya ya Hewa
2. Huepusha kuku kudonoana
3. Huwa epusha kuku dhidi ya wezi na wanyama wakali
4. Heepusha kuku kuwa ha uzuni
ENEO
Unapochagua eneo la kujenga banda la kuku, hakikisha kuwa banda hilo halitizami upepo...
Good, but mwisho wa siku tuji ulize ss tupo wap. Mimi nadhani tunge enda kule kupata ujuzi jins wenzetu wanavyo fanya hizo production, Then tuje tu invest kwetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.