Habari wakuu. Samahani naomba ushauri, nahitaji kuendeleza career yangu katika MpH. Je KIUT ni sehemu sahihi ya kuweza kupata elimu iliyo bora na inayotambulika. Asante
Habari wanajamvi, naomba kuuliza mfumo unaotumika kwa sasa kwenye usaili (written interview) utumishi. Je ni Online Amptitude Test. Au ni ule ule wa mitihani ya kuandika darasani.
Kada ya mazingira naomba tupeane areas of Concentration. Maana sisi wengine ni gradutes a decade ago. Asante
Asante kwa ushauri mkuu. Nimeshafatilia pia kuhusu operator courses VETA shinyanga, ambako ndio nimeambiwa pia wana mitambo ya kutosha. As well as Kunduchi pia wanafundisha though kwenyewe nimeambiwa vifaa vyao ni vya kawaida compared na Shinyanga.
Habari wadau, poleni na majukumu yenu. Samahani naomba mnishauri katika jambo lifuatalo. Mimi ni graduate katika fani fani ya Mazingira.
Nimeshasota sana mtaani pasipo kuwa na kibarua au ajira kwa muda mrefu. Hali ambayo imenifanya kuwa oudated sana katika ushindani wa soko la ajira.
Hivyo ili...
Asante sana,,nimepata somo zuri sana. Lengo langu ni kujenga uzio ambao ukiwa kwa nje utaona paa lilipoanzia tu. Mzunguko wa hewa upo wa kutosha. Maana lengo langu kubwa ni ufugaji kwenye hilo eneo. Ubarikiwe ndugu
Habari wanajamvi.
Samahani nina kiwanja kina ukubwa wa 2430 square meter.
Nataka nijenge uzio ambao ni standard, namaanisha uwe na urefu toshelezi.
Msingi una urefu wa futi mbili kutoka ulipochomoza kwenye ardhi.
Je, yatahitajika matofali mangapi ya inch 5 kukamilisha ujenzi wote wa fence...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.