Shikamoo Babu Kingunge!!! marahaba Mabadiliko
Anastahili kuitwa Babu wa Taifa, ni kutokana na uzalendo ndani ya Taifa hili dhidi ya Mchwa wanaolitafuna Taifa kwa uroho wa kupindukia wasio na huruma kwa watu masikini.
Babu yetu amewaambia CCM watakuwa wapinzani na hilo hakuna mjadala...
Magufuli atachaguliwa kijijini kwako labda na bibi yako na babu yako
Kwa hali ilivyo vijiji vyote wanamfahamu Lowassa usiwe mbishi kama tete na upepo huyu Lowassa ni balaa anafahamika vilivyo kama unabisha ni kwa sababu tu Umekula yamini ya Lumumba na itakutesa sana mkuu
Tunapiga kampeni mjini...
Picha nitaleta mkuu ila nasikitika kodi zetu zinavyoangamizwa na hawa mchwa
Hivi hakuna kipengele kinachosema mtu ambaye hahitajiki jimboni kwake asiruhusiwe kupiga kampeni?
Kwa nn basi ccm mchwa hawalionei huruma taifa hili?
Kweli watanzania tuendelee kufumba macho na kuwa wazalendo kwa...
Katika kile kinachoitwa saidia gamba mwenzako hapa imekuwa tofauti na falsafa hiyo. Baada ya kujiridhisha pasipo na shaka kuwa mambo yamekuwa magumu kwa mbunge wa jimbo la Mwanga kwa tiketi ya CCM,wafujaji wa rasilimali za nchi bila ya huruma wakateketeza mafuta na kuvamia maeneo ya Ugweno...
Kwa wale wa Upande wa pili niwajulishe maana na dhana ya UKAWA
UKAWA ni Umoja wa Katiba ya Wananchi
Ukawa ni mpango wa mungu
Ukawa ni chaguo la wengi
Ukawa ni vuguvugu la mabadiliko
Ukawa ni ukombozi wa watu masikini
Ukawa ni mwiba wa ccm
Ukawa ni tumaini la watumishi wa umma...
Tena ukome kumwita Lowassa fisadi wakati mafisadi wote wamebaki kwenye sufuria kuu ccm kama ukoko wa pilau.
Nazani hata wewe unafaidika na huko ufisadi Vinginevyo toroka uje kwenye mabadiliko nije ya ccm
Chagua Lowassa
Chagua Ukawa
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa. ni maandalizi ya kumpokea mgombea urais kupitia CHADEMA, ndugu, mheshimiwa,his excellence, Edward Ngoyai Lowassa hapo tarehe 6/10/2015!
Watu wanamsubiri kwa hamu tofauti na wagombea wengine waurais,bodaboda,wanamwanga ,wanaccm wapenda mabadiliko ya ukweli nje...
Kikwete hajamuelewa Sumaye kwa sababu ya upeo mdogo aliokuwa nao. Si unajua ana kadegree ka China chuo cha Hua Hayawani katika mji wa Shoga -Chini. Sumaye kasoma Harvard University so uelewa wake ni mkubwa sana
Today Mbeya and the people together has made a remarkable event!
I salute you all and be blessed for welcoming our future president, His Excellence Lowassa, the only one, the special one and the greatest legend of Tanzania. In Lowassa I believe our country will remain united, thank you mr...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.