Sema acheni watoto wateswe siyo wasome. Watasomaje matako mabega vijaa vidonda na michilizi ya damu. Asipolipa pesa ya tuition mtoto anapigwa anfungiwa kwenye ofisi anapigwa mpaka anatoka hata kutembea ni shida
Mtoto as
Mtoto asipopeleka pesa ya tuition anapigwa na walimu zaidi ya watatu au zaidi. Je mtoto anakosa gani mpaka apigwe kama mwizi. Naomba viongozi wafike hapo wawasikilize watoto. Tunajiandaa kupeleka ushahidi na vielelezo kwa waziri wa elimu jamani watoto wetu wamefikia pabaya Ibungiro...
Watoto
wapigwe kwa sababu siyo kupiga na kwa utaratibu. Mtoto akichelewa walimu wanapiga mpaka anavuja damu akikosa swali hizo fimbo usiseme utaenda mpaka hospital tukae kimya tusiseme. Kisa walimu muko humu mbona wenu hamuwapigi mpaka wakatibiwe
Sijui kutukana ila fikilia kabla hujasema hata wewe mtoto akikukosea kuna utaratibu wa kupiga. Selikari ilisha weka utaratibu wa kuchapa. Walimu wa will wanakamata mtoto wanapiga fimbo watoto hawawezi hata kukaa eti mtoto hajapata swali. Selikari iende iongee na wanafunzi ibungiro secondari...
Kama kupiga mtoto mpaka anapelekwa hospital kila siku michilizi ya damu ndiyo elimu peleka wakwako. Ulaya hawapigi watoto unawazidi elimu. Watoto wanapigwa fimbo migongoni mikononi mabegani. Elimu gani hiyo ya kulemaza watoto wetu.
Ndugu zangu acha uta ni katika hili bukoba mtoto alikufa mikononi mwa walimu. Hatukatai kuchapa watoto lakini inapofikia mtoto hawezi hata kukaa mgongo wote ni damu huko siyo kupiga. Mimi siyo kichaa
Tunaomba msaada wa haraka kutoka kwa viongozi, Afisa Elimu, Mkuu wa Wilaya Ilemela, Mkuu wa Mkoa mje muokoe Watoto wetu.
Sasa Ibungiro Secondary School wameamua kuua Watoto wetu, Watoto migongo imejaa michirizi ya damu hawawezi kukaa kwa maumivu ya fimbo.
Tunawaomba Serikali tusaidie, watoto...
Jamani naomba kuuliza mimi sijaelewa. Chadema wametolewa kwenye mchakato wa uchaguzi au wameondolewa?
Lipi sahihi kusema wa meondolewa kwenye mchakato wa uchaguzi. Au kusema wamejiondoa kernye mchakato wa uchaguzi
Ni mewaza na kuwazua nini kina tu tafuta Africa Mashariki.?
Je ni hofu ya watawala au ndio utawala Bora?
Viongozi waupinzani Tanzania Uganda na Susan wote wako kwenye mikono ya polisi. Je hii ni hofu ya watawala au ndio utawala Bora?
Wa Tanzania nawaomba tunapokaribia kipindi hiki cha uchaguzi ni vizuri kumushilikisha Mungu.
Wa Tanzania Tuna dini
1: Wakristo
2: Waislam
3: Wapagani
Sasa ni wakati wa kila mtu kwenda mbele za Mungu kuliombea Taifa letu ili tuvuke salama
Wa Tanzania wenzangu tunajipanga kwa uchaguzi mkuu ifikapo October 2025 wana siasa sasa wanajipanga kuchukua nafasi. Walio nje wanajitahidi kurejea ndani. Walio ndani wanajipanga kubakia kwenye viti vyao.
Sasa wabunge wetu waliopotea majimboni wataanza kurejea majimboni...
Uchaguzi ni jambo la kawaida katika nchi inayofata Karina na misingi sheria na Demokrasia. Lakini kinachoonekana kwa chadema sasa siyo uchaguzi ni Vita. Vitisho kuumbuana na mwisho ni kusambaratisha chama
Naomba ni wakumbushe chadema kuwa wamebeba matumaini ya watu wengi. Wa Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.