Pigo.unajua maana ya pigooo? Usitufanye kutuaminisha uma uongo wakoo kwa nn usiongelee ka bibi slaaa kuliko kila sku ww na pumba zako kwa ENL ndio naaamin mmekosa hojaaa ndio maana mnafanya kuponda mti wa matunda kamweee hatutakubali sie.. tunamwani cie
Sizan kama n kwel mtu anaamka amegombana na mke wake asbh anakuja kuongea upuuz kama huu huyu mungai ameharibu kila kitu kwenye secta ya elimu cjawah ona waziri mbumbumbu kama huyu kutokea maaana alifutaa michezo mashuleni kwa mihemuko yake mwenyewe nakumbuka nilikuwa darasa la tatu tukaambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.