Niende moja Kwa moja,
Kwa pongezi zangu Kwa baadhi ya viongozi wa dini Kwa KUSIMAMIA HAKI hasa kipindi hiki Cha uchaguzi, Mungu awabariki
Ila kuna baadhi ya viongozi wa dini wenyewe wanasubiri kuwaibia waumini sadaka zao kwa kuwaongopea njoo na hiki, mara chukua hiki, utapona, hapa nawalenga...
Kama kichwa kinavyojieleza, Leo mwanangu amenipa taarifa kuwa shule yao,yaan Ubungo Nhc msingi inabadilishwa na kuwa mchepuo wa kingereza
Nikapata mshituko kidogo, ikabidi nifanye uchunguzi nikagundua ni kweli, nikajiuliza maswali mbona jambo kama Hilo sisi wazazi hatukushirikishwa?
Shule...
Niende Moja Kwa Moja Kwa peter msigwa,najua kuhama chama, ni hiari ya mtu,hamna mtu anayeweza kukulazimisha kuhama chama.
Sasa nimefuatilia sana hutuba za peter msigwa imekuwa kero, Kwan yeye hotuba zake zimekuwa za kutukana chama, kumtukana Mbowe, si jambo jema,Kwa nn usjifunze kwa wenzako...
Awali ya yote napenda kuipongeza serikali yetu Kwa kuwa kulifunguia
KANISA la KIBOKO ya WACHAWI kwani hata jina tu.
Linaonesha mahubir yake hayasadifu neno la Mungu ni uamuzi ambayo umekuja Kwa wakati sahihi, Kwan Kuna msemo unasema Kinga Bora kuliko tiba.
Hivyo tujiadhari kabla maafa...
Mm binafsi sipendezwi na huyu peter msigwa,hasa baada ya kuhama chama,swala la kuhama chama ni haki yake, siwezi kukataa ila tatizo linakuja swala la kuanza kutoa siri za chama, Wala halipendezi, alitoa sababu za kuhama chama kwamba hakimkutendea haki, ilikuwa imetosha.
Angejikita kwenye hoja...
Nionavyo mm Kwa kweli nape amempotezea mama kura za mwaka 2025,ningeshauri mh Rais,achukue hatua mapema,sio jambo jema na halina afya Kwa mustakabali wa Taifa letu, Kwa nchi inayofuata misingi ya demokrasia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.