Recent content by SITABIRIKI

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kimara, Dar: Basi likitokea Dodoma lagongana na Lori; magari yateketea kwa moto

    ni.kweli mkuu hu overtake hata kwenye mzunguko(round about) lilifanya hivyo round about ya area c juzi bahati yake hakukuwa na trafiki maeneo ya jacana inakera sana.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kupunguza unene

    ushauri mzuri sana
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akibadilisha Mawaziri, hawa lazima waende na maji

    kula, kulala na kutibiwa nako bureee?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kimara, Dar: Basi likitokea Dodoma lagongana na Lori; magari yateketea kwa moto

    poleni ndugu jamaa na marafiki
  5. S

    JamiiForums Tanzania Maisha ya matukio yataligharimu taifa na Serikali ya Tanzania

    ni Tanzania pekee vikongwe na alibino wana dhuriwa kwa imani potofu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hali ya Waathirika wa Tetemeko Bukoba ikoje? Je Habari hii ni ya Kweli?

    akaa! mi nimeanza zangu kujifunza mpira mtani alisema makalumbu tujifunze mpira pakuchezea.ndo hapo paja
  7. S

    JamiiForums Tanzania Heri ya Kuzaliwa Mheshimiwa Rais wetu John P. Magufuli

    kapaa ndugu!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Magufuli lililokataliwa na Wakatoliki

    DAAH! KACHUCHERI LA MSETO
  9. S

    JamiiForums Tanzania Makonda wa daladala muwe wasafi

    nimeongelea konda wa daladala ya S.GEMA huyo wa dar unamjua wewe! acha unaa
  10. S

    JamiiForums Tanzania Makonda wa daladala muwe wasafi

    huyo unamjua wewe
  11. S

    JamiiForums Tanzania Makonda wa daladala muwe wasafi

    Sikua nimempiga picha wandugu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Makonda wa daladala muwe wasafi

    Wana jukwaa mu haligani? Nimepanda daladala mida hii toka S. Gema kuja Jamatin konda ananuka balaa na kinacho toa harufu ni nguo ya ndani kiasi inzi kumfata yanI gari nzima inanuka. IMENIBIDI KUTEREMKA NJIANI NITAFUTE USAFIRI MWINGINE
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani Tanzania wenye uchawi wa kutisha na mkubwa zaidi?

    du! nimechekaa
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani Tanzania wenye uchawi wa kutisha na mkubwa zaidi?

    oysterbay au uheheni dodoma ni nouma wakuu
Back
Top Bottom