Recent content by SIS DREAD

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

    password yangu ya fb anayo na mara nyingi anaingia kwenye ac yangu anachat na rafiki zangu wakijua ni mm mtu akiniita tu dia au wangu au mpz anamblock
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

    ndo niko kwenye zoezi hilo kwani jana mm nilikuwa kazini nilipofika nyumbani kutoa cm nikakuta mic cal zake nikamcal akawa apokei badae akaniandikia msg ushatoka kwenye mambo yako ndomaana ulikuwa hupokei cm zangu nikajaribu kumwelewesha kwamba haikuwa hivyo bali sikusikia cm coz nilikuwa kwenye...
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

    ahsante kwa ushauri
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

    basi usicomment kama hayakuhusu yangekuwa hayawahusu nisingeomba ushauri kwenu mtu anapoomba ushauri inamaana jambo hilo limekuwa shida isiyokuwa na suruhu kwake
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

    hapana sisi sio watoto tuna umri wakutosha wote wawil ana 31 nina 28
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

    anazo password zangu zote na nilimpa kumwonyesha tu sina baya llte nalofanya
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

    jaman sijakutana nae mtandaoni ni wivu tu unamsumbua labda maana sijui tatizo ni nn
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

    dah umenigusa sana kwakwel kwani usemacho nakiona mbele yangu nishajaribu kumuacha two times bt anajiludi na kusema anaomba nifuate anachotaka yy kama kumpa password zangu zote kitu ambacho nimefanya lakini haijasaidia kitu anataka nikitoka tu kazini nizime cm zangu mbili ibaki moja tu anayojua...
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

    marshal hatujakutana online sijui tu ana matatizo gani hata anashindwa kbs kuniamini.
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

  11. S

    JamiiForums Tanzania RIP GOLDIE.....Naija singer is no more

    RIP mdada tulikupenda sna ila yeye aliyetuumba kakupenda zaidi!
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

    Niko kwenye wakati mgumu sana ninaempenda aniamini hata kdg akiona niko online iwe fb, whats app na mitandao mengine anachanganyikiwa kabisa kwamba nachat nawanaume nishamwelewesha lakini wapi ata akinipigia cm bahati mbaya nisipopokea nikimwelewesha aniamini anahisi vibaya muda wote nifanyeje...
  13. S

    JamiiForums Tanzania PICHA: Lulu akiwa mahakamani mapema leo asubuhi

    Binti kanenepa na kupendeza lk hakuwa gerezani.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Hon. J Makamba

    Happy Birthday mkaka! Mungu akusimamie katika kazi zako!
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ivi inawezekana kweli????

    Wadau habari za mchana huu jana nilisafiri na kaka mmoja kwenye ndege alikuwa ni mtu mwenye mawazo mengi sana badae akaamua kuzungumza namnukuu kama ifuatavyo. (Dada mm naitwa .......................... akataja jina lake naishi Arusha nafanya kazi katika mgodi wa Tanzanite nimeoa na nina mtoto...
Back
Top Bottom