Kikubwa mm nafikiri namna ambayo utapresent ujuzi na maarifa uliyoyapata kwenye taasisi husika pamoja na individual competence uliyonayo ndio zitakufikisha mahali unapotaka kuwa.Pambana na GPA kwani pia kuna mahali itakusaidia pia...work hard,think big
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.