Recent content by Sirnone

  1. Sirnone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dah wahuni si watu aisee
  2. Sirnone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu hii app inaitwaje Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Sirnone

    COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

    Jamii forum imerudi kwenye ubora wake yaani THE BOLD NA MSHANA JR ndo watu wamenifanya nikapendaga JF Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Sirnone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa kweli katika swala la odd syo kwa kampuni za bongo TU kampuni zote hakuna inayofikia odd za mbet tatzo ni option chache hawana over/ under 1.5 ,hawana over/under 3.5 ,corner na option nyingi tu hawana. Ila Kama n mtu unapenda double chance na over/under 2.5 hapo ndo penyewe sasa Sent using...
  5. Sirnone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pole Sana mkuu ndo betting ilivyo unaweza ona kila njia ya kushinda au kutoa magoli mwisho wa siku inakuwa mbaya. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Sirnone

    Gaucho akamatwa Paraguay akiwa na Hati ya Kusafiria inayomtambulisha yeye kama raia wa Paraguay

    Huwezi mfananisha Ronaldino na mess au Ronaldo kamwe. RONALDINO NI LEVEL YA KINA ZIDANE. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Sirnone

    Gaucho akamatwa Paraguay akiwa na Hati ya Kusafiria inayomtambulisha yeye kama raia wa Paraguay

    Wacheza mpira waliishia Sasa hivi n wafungaji tu ndo wamebaki . Mpira Ni zaidi ya kufunga inatakiwa mbwembwe na manjonjo mashabiki wafurahi . Ronaldino na zidane waliovyo staafu na mpira ukaishia hapo. Hawa wengine sjui mess na ronaldo ni wafungaji syo wachezaji. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Sirnone

    Nampenda ila hana hela, nahofia nyumbani kwetu watamkataa

    Hapa ndo huwa nabaki na kigugizi. Sasa uchumba wako ,kupendana na mwenzio kuna uhusiano gani na wazazi? Wazazi waje kwenye send off na harusi hayo mengine ni mapenzi yenu. Hivi mpaka karne hii Kuna wanadamu wanachaguliwa wachumba? Hayo n maisha yako na mpenzi wako hayatawahusu wazazi. Mbona...
  9. Sirnone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mbona zinaonekana mbele kabsaa? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Sirnone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Zote hzo n over mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Sirnone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hzo hapo ukiamu kuchanganya kazi kwako. NASEMA HIVI KANJI NIMEKUJA NA STRATEGIC NYINGINE NAINGIA KAHAWANI SASA . Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Sirnone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Muda SI mrefu ntashusha odd 2 heavy jipangeni sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Sirnone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu Sasa mtafiti nmerudi na betting winning conclusion. Kaeni mkao wa kula kuanzia leo na kuendelea . Tunaanza rasmi Leo staki tamaa tu basi kila kti konawezekana Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Sirnone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee zile timu 2 hzo Hapo tukutane asubuh Leo siku ya kwanza Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Sirnone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Habari za muda huu wakuu nimekuwa kwenye hili jukwaa kwa muda Sana lakn nilikuwa sifanyi uwekezaji Mara kwa Mara Sasa naanza rasmi Leo na kwa vile na nyie n ndugu zangu Basi naamini siwezi kuwaacha Wala kula chakula mwenyewe. Twendeni pamoja kila sku ntaweka mechi 2 isiyopungua odd 2-3 tuacheni...
Back
Top Bottom