Aisee nyumba ni nzuri mno,
Hongera sana mama Samia na wote walioshiriki kufanikisha hili,
Yalishawahi kutokea maafacya tetemeko la ardhi na the rest was history
Uhuru ukizidi ni utumwa,
Naamn sasa kuongoza nchi unatakiwa uipende nchi kuliko dini na Sheria zake,
Uongozi lazima uwe mkatili kiasi Fulani Ili heshima iwepo
Binaadam bwana yaan akienda nje ya nchi wanasema anazurura shda za wananchi atazijua vipi?
Akiamua kwenda kwa wananchi wanasema ameanza kampeni mapema loh!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.