mfano,afisa uhamiaji akimruhusu mtu asiyekuwa na viza kuingia nchini utaenda kumlaumu mu wa tra?au mtu akikwepa kulipia ushuru wa bidhaa zake utaenda kumlaumu uhamiaji?nina maana kila mtu awajibike kwa misingi ya kazi yake.airport wapo wafanyakazi wengi sana lakini sio wote wanaofanya kazi ya...
nisaidie kumuelimisha mkuu,watu wengine badala ya kufikiri huwa wanakalia kulaumu.kwani nani amethibitisha kuwa mzigo huo ulipitia jnia?je kama masogange alikutana nao o.tambo airport ndio akawa anautoa je?
mbona ukumalizia kunukuu?nilisema endapo itabainika pasi na shaka kuwa maafisa hao wanatiwa hatiani endapo ikithibitika pasi na shaka kuwa;
1.walikuwa na taarifa kuhusu contraband
2.waliziona na kuziacha kwa makusudi
3.walisaidia kuzipitisha.
Sehemu gani ambayo hukuelewa au ni kimbelembele tu...
wadau natumaini hamjambo,
nimekua nikisoma thread nyingi sana ambazo zimeandikwa kuhusu madawa ya kulevya uwanja wa ndege wa dar es salaam(JNIA),lakini waandishi wengi na hata magazeti yamekuwa yakitupia lawama baadhi wa watu bila kujua namna kazi zinazofanywa airport.ni kweli airport kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.