hakika tukio hilo lilikuwa na vioja vingi askari walifungulia redio za magari yao na kuanza kucheza mziki lakin wananchi nao wakaingia ndani ya nyumba wakaanza kuchukua vitu mwenye deki haya kochi haya tv haya ni watu wakidai tume ruhusiwa kuchukua watanzania tumepoteza utu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.