ndoa ni nzuri sana lakini wanandoa wenyewe waipende ndoa yao na kuitendea haki; pia huyo dada si ana akili yake binafsi kwaio inabidi ajiamini yeye mwenyewe siyo kuishi kwa kumuangalia jaydee au mbasha
ebu ngoja tuwasikilizie huku tukiandaa data za kutosha, mwisho wa siku wakijifanya ving'ang'anizi afu hakuna maendeleo itabidi tupindue serikali ya ccm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.