Wanajamvi, salaam. Mimi ni mdau mwenzenu kwa takribani miaka 12 sasa, naomba leo niwashirikishe jambo langu, nimekuwa na ndoto za kuwa Mwekezaji kwenye mali isiyohamishika (real estate).
Kwa mazingira yetu ya Tanzania na uchumi wetu, na kwa kuzingatia mimi ni mdau mwenye kipato cha kati na...