Recent content by sir. Mwasongwe

  1. sir. Mwasongwe

    XC90 volvo

    Habari za kazi wadau, gari yangu Volvo XC90 haikai kwenye D inakimbilia kwenye MNI Ccheki video hapa
  2. sir. Mwasongwe

    Walimu 5000 kati ya 8000 walioajiriwa, wasitishiwa ajira zao

    Hakuna ukweli rafiki zangu wamemaliza hiki chuo 2015 wapo mitaani
  3. sir. Mwasongwe

    Leseni

    Ukiwa Na D au E ila cheti huna inakuaje kupata C kavu
  4. sir. Mwasongwe

    Mdhamini wa kuwezesha kuanzisha kiwanda kidogo cha bites

    Kwa sasa hatuna uwezo wa kuajiri maana production bado n ndogo ndiyo maana tunatafuta mdhamini
  5. sir. Mwasongwe

    Mdhamini wa kuwezesha kuanzisha kiwanda kidogo cha bites

    Kwa sasa tumeanza tupo wawili lakini production ikiongezeka tutaongeza kutokana Na production inavyokua
  6. sir. Mwasongwe

    Mdhamini wa kuwezesha kuanzisha kiwanda kidogo cha bites

    Tumeanza Na clips, tambi, Na vikokoto. Kutokana Na kiwango chetu cha fedha kidogo sana lakin malengo yetu n kuzalisha bites zote
  7. sir. Mwasongwe

    Mdhamini wa kuwezesha kuanzisha kiwanda kidogo cha bites

    Sijaandika vyote ila nimetoa kama summary tuu. Baadhi ya vitu inatakiwa kukaa mezani Na mdhamini kukubariana. Mshahara pia tunaweza gawana katika asilimia kwenye faida. Mfano 20% ya faida atachukua mdhamini, 30% ya faida inaenda kwa wafanyakazi, 30% ya faida inaenda kwenye kukuza mtaji, 20% ya...
  8. sir. Mwasongwe

    Mdhamini wa kuwezesha kuanzisha kiwanda kidogo cha bites

    Habari za Kazi wadau wa maendeleo. Tunatafuta MTU anayeweza kutudhani, au kufanya naye kazi kulingana Na wazo letu kuanzisha kiwanda kidogo cha bites bajeti ni 2,705,000. Mdhamini atanufaika kwani tutakaa mezani Na kupanga namna ya kupata gawiwo la faida kila mwezi baada ya mauzo yote...
Back
Top Bottom