Recent content by Sir.M.D

  1. S

    Afisa mikopo St. John's Dar ala pesa ya bodi ya mikopo

    Pale main campus wametapeli watu kwa kutangaza nafasi za masomo hewa,watu wameapply lakin cha ajabu chuo kilishafunguliwa hakuna waloitwa hasa certifcates
  2. S

    Msaada, kwa wanaosoma UDOM

    Mtu muongo hana wakati na mahali
  3. S

    Tunapokuwa na mamilioni ya kushughulikia vilio!

    Ndugu zangu,napenda kujuzwa kama ilishawahi kutokea hapa duniani serikali kutenga mamilioni kwa ajili ya mazishi,na kutenga mamia ya ekari maalum kwa kuzika viongozi,ni nchi gani nyingine duniani tofauti na tanzania?pia ni nani aliye na sifa za 'kiongozi wa taifa'kiasi cha kuingia kwenye mfuko huu?
  4. S

    Matatizo ya nyonga na mifupa

    ahsante kwa msaada wako,hizi mbegu za harmal zinapatikana wapi kiurahisi..naomba pia unitumie email yako tafadhali.
  5. S

    Matatizo ya nyonga na mifupa

    Mama yangu mzazi 65,anasumbuliwa na maumivu kwenye nyonga pamoja na mifupa kuanzia kiunoni..naomba msaada kama kuna mtu anajua dawa aniandikie hapa,au ushauri wowote..tatizo limekuwa la miaka 2
Back
Top Bottom