Recent content by Sir Leem

  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

    mliopo nje ya nchi tunawona
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 JWTZ mpelekeni haraka Oman kwa Wajomba zake na Itisheni baraza la Uongozi la Kitaifa

    wengi mnao post mida hii hampo nchini net zimekatwa
  3. S

    JamiiForums Tanzania CCM wanachekesha Sana, wanakwenda kuchagua bila kujua watamchagua nani!

    Allen Habari za Magari Mabovu au haupo tena huko,Hivi Katibu mkuu wa chadema mmeshamjua ?Kwa mujibu wa katiba yenu ya chadema katibu mkuu anachaguliwaje si kama makatibu wa wakuu wa mabaraza wanachukua fomu na kuomba kura?
  4. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa Respond hii ya Kariakoo, kuirudisha Serikali ya CCM madarakani itabidi tujitafakari

    Wangekuwa CHAMA kingine wangefanya makubwa zaidi labda wawape chadema watafanya mazuri!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania tususe kupanda mabasi ya Shabbiby wa Gairo

    Kwa nini usiseme asipewe kura tena kwa mawazo yake kama hayo aliye yatoa huyo mbunge?Au kwa kuwa ni mfanyabiashara Je ingekuwa hayo mawazo ametoa mbunge mwingine kama alikuwa na kiosk cha pombe ungesema watu wasuse kununua bia au?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Zoo kubwa zaidi ya Wanyama kutoka Afrika kuzinduliwa nchini Oman siku ya Eid Pili

    hivi naomba kuuliza wanyama pori waliopo nchini huwa hawatakiwi kuuzwa?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atua Mahakamani kunusuru nyumba ya mtoto wake

    Ingekuwa ndiyo mwana ccm hapo pangewaka moto kwenye hii forum
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

    wengi wetu tuna roho mbaya,wewe anzia hapa jamiiforums angalia comments na jinsi tunavyo andika ndipo uome watu weusi tulivyo
  9. S

    JamiiForums Tanzania Swali Fyatu: Kwani Tatizo Gani Wameweza Kulitatua Likaisha?

    Watanzania pia wajue kama wakosoaji ni wale wale, wenye ukosoaji ule ule, wakikabili makosa yale yake kwa namna ile ile wanastahili kupewa nafasi za kukosoa tena?AU watafutwe wakososaji wengine ili tupate watawala wengine?
  10. S

    JamiiForums Tanzania RC Hapi asema safari za bombardier Iringa zitakuza utalii, uwekezaji na biashara

    Wajua Ruaha Nationa Park ipo mkoa gani? Hifadhi ya Ruaha Jump to navigationJump to search Hifadhi ya Ruaha iko katikati ya Tanzania umbali wa kilometa 128 magharibi ya mji wa Iringa. Hifadhi hii ina ukubwa wa kilometa za mraba 1300. Hifadhi hii ni maarufu kwa wanyama aina ya kudu wakubwa na...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini waasia hawapendi watu weusi kuoa binti zao?

    mmmmhhhhh hii lugha
Back
Top Bottom