Recent content by Sir Jk

  1. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Wewe ni mjinga wa mwisho unaishi nyumba ya laki na nusu na huna kipato chochote unachoingiza zaidi ya boom.Ndo nimeelewa kauli ya majaliwa ya wasomi kwenda veta inatakiwa ukimaliza uludi veta maana bado ujawa na utambuzi kifikra
  2. S

    JamiiForums Tanzania Karia Akiendelea Hivi, Yanga hatumpi Kura Mama Samia

    Wewe ndo unafanya tuamini kauli ya manara ya kusema yanga wenye akili ni wawili tu baba yake na mzee Jakaya
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetoka safari nikiwa nimenyoa mavuzi, wife kanikasirikia

    Acha mboga mboga waendelee kutawala maana vijana tunao wategemea kukomboa taifa ndo hao yani kijana kama huyo hanakuja na mada ya hivi kweli.
  4. S

    JamiiForums Tanzania ikitokea ukapata nafasi ya kurudisha nyuma muda ukiwa na miaka 20, ni vitu gani usingerudia kuvifanya

    Kiongozi umenikumbusha mbali sana yani kuna kitu umekigusia.Mahusiano ni janga kubwa kwa vijana tulio wengi na inatukosti sana na unakuja kubumbuluka muda ushaenda na pesa zishapotea hakuna kitu najutia kama hicho.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini nikimtamkia mtu baraka zinakuwa kweli ila nikijitamkie mimi hazikubali?

    Wewe kazi yangu ungetakiwa kuwa mganga
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano: ni maajabu sana, Kuna jinsia ya tatu ( ukiacha KE/me )

    Naona wakala wa upinde upo kazini na mlengo wa hovyo
  7. S

    JamiiForums Tanzania Faida ya Kikwete ni zipi kwenye uangalizi wake wa chaguzi za nchi nyingine?

    Mashita bila ushaidi ni kazi bure
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke na mume walitembelea shamba la kilimo. Wakamuona ng'ombe dume akishiriki tendo la ndoa na ng'ombe jike

    Bandiko lako linatufunza nn ndugu kiongozi
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilivyokutana na Mariam kipindi nimemaliza kidato cha 4 nikiwa sina hili wala lile

    Huyu namjua ni yeriko nyerere mfuasi wa mbowe kachanganyikwa na upepo wa Lissu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Royal Family wadhibitiwe, watavunja NDOA za watu!

    Tafuta hela bwana mdogo hao washajipata huwezi kuwapangia la kufanya
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukio limefanya nitafute mwenza

    Bado haujakaa sawa kuna tatizo uko nalo kichwani
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada mke wangu anataka kuniua

    Watu wa hivi dawa yenu P didy
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ashikiwa Panga na Baba yake baada ya kusema anataka kuoa

    Ni wewe halaf unasingizia jamaa
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nataka niwape stori za ndani ndani kuhusu kiongozi mmoja nchini

    Mleta uzi huwache ukuda umaskini upo Tanzania nzima halfu wewe mwenyewe ni maskini na utuuzima wako
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    Ccm ina umri gani na Nape nae anaumri gani au wewe ni miongoni mwa kizazi cha 2000
Back
Top Bottom