Habari zenu wadau wa jf.
Leo nimeona ni address tatizo langu humu nikiamini kwamba kuna wasomi wa hali ya juu humu na watundu wa kudadisi mambo
Mimi nina changamoto ya kutoka jasho kupita kiasi hasa maeneo ya shingoni, kichwani na mgongoni.
Nikilala kitandani yaani godoro linalowa jasho...
Wadau wa jf nimeona nitoe ya moyoni mwangu.
Mimi ni mshabiki wa muziki wa dancehall toka utotoni na ninapenda zile dancehall ngumu zinazoelezea maisha halisi ya mtaani mfano ugumu wa maisha, violence, Babylon system inavyotreat watu.
Yaani ukiingia getoni kwangu, ni mwendo wa gangsta tracks za...
Kabisa! 👍🏻
Haya mambo ya ku mock wengine uwezo wao wa akili kwa kigezo cha vizazi (generations) mimi siyafagilii kabisa japo na mimi ni millennial!.....
Nyie millenials wa kibongo na hizo IQ zenu mmefanya makubwa gani?
Ni yaleyale ma bongo lala tu... millennials wa kibongo sijaona aliyefanya kitu kikubwa kiasi kwamba akifa leo dunia inatetemeka kwa sababu ya kuacha alama!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.