Recent content by Sinyagile Inyali

  1. S

    Magufuli’s phone call to Egyptian president sparks new controversy

    Hongera JPM kwa kuwanyima wale jamaa wenye "MACHO MADOGO" hii kitu. Na utakuta negotiations zilizofanyika na hawa wa MISRI zimefanya gharama ya ujenzi kushuka maradufu aisee. Dah
  2. S

    Bwawa la Stiegler's Gorge kuanza kujengwa na kampuni ya Misri

    Nawapongeza Wachaga wote ambao wameuweka ukabila pembeni na kuungana na JPM katika kujenga uchumi wa nchi. Kongole Mzee Mengi.
  3. S

    PSPF na mikopo ya elimu

    Aliyetuharibia MIFUKO YA JAMII ANAFAHAMIKA, ameruhusu mifuko iwe mingi kama biashara ya mashindano, sasa hii ndiyo hasara ya MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII kuwa mingi na kushindana kama FREMU ZA KARIAKOO. Bora sasahivi JPM anarudisha mfumo kuwa usio wakinyonyaji. HALAFU HII TABIA IPO SANA, YA...
  4. S

    Rais Magufuli: Ole wake atakayeandamana, kama kuna baba zao wanawatuma, watakwenda kuwasimulia vizuri

    Jamani nisaidieni mimi ni mgeni humu JF , kila ninachoposti sikioni nikifungua UZI kesho yake. Nisaidieni utaalamu inawezekani kuna settings ninatakiwa kuzifanya.
  5. S

    Rais Magufuli: Ole wake atakayeandamana, kama kuna baba zao wanawatuma, watakwenda kuwasimulia vizuri

    Ndiyo hawa tunaowasema, anajifanya yuko kwa MTOGOLE wakati watu wanamfahamu na wanajua kuwa hayupo ndani ya nchi hii.
  6. S

    Rais Magufuli: Ole wake atakayeandamana, kama kuna baba zao wanawatuma, watakwenda kuwasimulia vizuri

    Unawezaje kupooza hisia za Mange ? Mwanamke ambaye wanaume wote waliomuoa walishindwa kupooza hisia zake na kuamua kumpa talaka ? HUWEZI KURIDHISHA NAFSI ZA WATANZANIA WOTE. Na nakuhakikishia hao watu wanao comment kwenye mitandao ukiwahesabu kwa kuanzia na MANGE mwenyewe hawazidi 1000 . Watu...
  7. S

    Kutengeneza noti nyingine mpya na kuzifuta za zamani kutapandisha uchumi?

    Na ww ndugu yangu unaonekana hujawahi KUWEKA au KUTOA benki fedha kiasi cha shilingi MILIONI KUMI. Ungelikuwa umewahi ungenielewa. Unajua unapobadili kiasi kikubwa cha fedha na ukakosa kuwa na AKAUNTI YA BENKI UTAZUA MASWALI MENGI. 1. Kwanza fedha hizo taslimu unazochukua benki kwa mkupuo...
  8. S

    Kutengeneza noti nyingine mpya na kuzifuta za zamani kutapandisha uchumi?

    Ingelikuwa rahisi kama unavyosema, Wafanyabiashara wasingelihanya/wasingelichukia na kulikataa hili zoezi la kubadili NOTI. Wewe unafikiri ni kwanini SERIKALI YA INDIA ilibadili NOTI za fedha zake mwaka jana 2017 ?
  9. S

    Kutengeneza noti nyingine mpya na kuzifuta za zamani kutapandisha uchumi?

    UNAPOBADILI NOTE wale wote walioficha fedha ndani na kuacha kupeleka benki watalazimika kuzitoa na kuzirudisha benki ili wapewe NOTE mpya, maana hawawezi kubaki na NOTE za zamani na hali wao wanataka kuendelea kufanya matumizi. Watakapofika benki kurudisha maburungutu ndipo watakapoulizwa, kwa...
  10. S

    Kutengeneza noti nyingine mpya na kuzifuta za zamani kutapandisha uchumi?

    Nimejiuliza sana kama JPM anakosea kuchapisha pesa mpya. Sijaona kama ANAKOSEA maana kama huyo KAKOBE amekutwa na mamilioni kwenye majaba MAANA YAKE NI NINI ? Maana yake ni kuwa wapo matajiri wengi wanaweka pesa nyumbani. Na wafanyabiashara wa kariakoo wanalifahamu hili, naskia ma TYCOON wa...
Back
Top Bottom