Recent content by Singo Jr

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu bomu lililopigwa jana katika mkutano wa CHADEMA

    ivi grenede si linalipuka ukitoa ile lock?na kama ni la mkono kwanini lisimlipukie huyo polisi aliyekuwa nalo limelipukia kwingine
  2. S

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Taifa lina nyufa

    niwe muwazi udini umeanza pale chama tawala kilipoamua kurotate wagombea urais kwa kigezo cha udini nani asiyejua kuwa next election ni mkristo ndo anagombea kama nchi ni moja na tuko sawa kwanini wanatumia kigezo cha dini..magamba niwadini.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Lissu - Serikali kukaa kimya ni uchochezi mkubwa kifalsafa

    Dr JAKAYA jibu maswali hayo..
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tamko la Rais Kikwete juu ya Tukio la Arusha

    eti kapokea kwa mshtuko na masikitiko wakati kwenye picha za ziara anachekelea tu, au ndo kazipata taarifa saa hizi?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Kuwait

    akirudi analeta jam tu kuanzia kiwnja cha ndege mpaka magogoni, kama vipi ajengewe kiwanja chake ikulu. "sitawaliwi na akili ndogo"
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwa watanzania wote

    kwa maneno mafupi yasiyo ya kumumunya naomba niwaulize swali watanzania wenzangu tulio na uchungu na nchi yetu je hatuoni ni wakati sasa tuanza kupigania rasilimali zetu kila kukicha kashfa za ufisadi na rushwa mwisho wa siku zinapotelea juu kwa juu sasa nafikiri ni vizuri watanzania tuanze...
  7. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaisambaratisha CCM Uchaguzi wa Vijiji Kilosa

    hawataki kukubali wanasema chadema ni chama cha mijini vijijini hakipo haya sasa mambo yameanza, their end is near so near.......
Back
Top Bottom