Hiyo haipo kwenye hii katiba yetu pendwa kwahiyo rais anaweza kuamua vyovyote anavyotaka iwe kwakuwa havunji katiba waliopita nao ndiyo yalikuwa maono Yao
Hii kesi inaenda kumuumbua mnyika na mbowe hivi unafikiri hao kina dada ni wajinga mpaka walazimieshe kesi? Mnyika ndiyo alipeleka majina angekuwa hajapeleka angeshaga fungua kesi muda mrefu ya kufojiwa kwa sahihi yake kwanini Yuko kimya? Kibatala kafichwa hajui anakuja kuropoka tu hapa eti...
Ndugu hivi kweli majina yawe hayajapelekwa na mtu nec wanatoa wapi ujasili wa kupelwka majina kwa spika usifukirii nao ji wajinga wanapakuanzia kesi inakuja subirini mtaona wanavyoweka Moira kwapani hao chadema
Haswaa sasa wao walitaka kuwageuka kina mdee wakati tayari barua Iko tayari hapo mnyika anaenda kujivua nguo mahakamani na huyo angekuwa hajapeleka majina muda mrefu angeahafungua kesi ya nani aliyefiji Saini yake lakini kakaa kimya sasa ngoja mvua inyeshe tuone panapovuja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.