Recent content by Sindano Mayanja

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tutahakisha Makamba anawajibika kwa madudu aliyofanya TANESCO akiwa hukohuko Mambo ya Nje

    Makamba na genge lake wanapaswa kufunguliwa mashitaka ni majambazi tabu tunazopata Tanzania kwenye umeme ni Makamba
  2. S

    JamiiForums Tanzania Misimamo ya wafia vyama wa CCM na CHADEMA ipoje kwa haya mazungumzo yanayoendelea?

    Kwa muda mrefu sasa tangu vikao vya viongozi wakuu wa CCM na CHADEMA wameanza mazungumzo ambayo leo yamezaa matunda ya angalau Viongozi Wakuu wa Upinzani na Viongozi Wakuu wa CCM kukutana kwenye hafla ya CHADEMA. Pamoja na yote tunasikia minong'ono ya wafia vyama yaani wahafiidhina wa CCM na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wenye majina makubwa kung'olewa Taifa Stars

    Mnapotumwa na huyo mjinga wenu tumieni akili uwezo wa Mchengerwa ni mfano kwa Taifa mnachofanya ninyi ni majungu mnayotumwa na hiyo takataka. Hivi Mshale wa tako aliopigwa hakutosha?
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Walikuwa wanachezea shilingi Chooni hawajui hasira za wananchi maana hata wana CCM wana hasira balaa
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mgombea Ubunge jimbo la Nkenge achinja ng’ombe watano kusherekea ushindi wa kuteuliwa kuwa mgombea wa CCM

    Aliyekuwa Mkurugezi wa Halmashauri ya Mvomero Mkoani Morogoro na baadae kutenguliwa kutokana na uzembe pamoja na kashfa ya rushwa ya kuingiziwa Million mia nne na muhindi aliyemuuzia ardhi ya Wananchi kinyemela ajulikanae kwa jina la LAURENT KYOMBO ameteuliwa kugombea Ubunge katika jimbo hilo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mgombea Ubunge jimbo la Nkenge achinja ng’ombe watano kusherekea ushindi wa kuteuliwa kuwa mgombea wa CCM

    Wananchi wa Kata ya Mushana Wilaya ya Missenyi jimbo la Nkenge wamekerwa na CCM kumpitisha mgombea anayelalamikiwa na wananchi kwa uporaji wa ardhi katika maeneo yao. Malalamiko hayo tayari yaliwasilishwa kwa Mkiti wa CCM, Katibu wa CCM Wilaya ya Missenyi, Katibu wa Mkoa pamoja na Mkuu wa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mgombea Ubunge jimbo la Nkenge achinja ng’ombe watano kusherekea ushindi wa kuteuliwa kuwa mgombea wa CCM

    Mgombea Ubunge aitwaye LAURENT KYOMBO aliyewai kuwa Mkurugezi wa Halmashauri ya Mvomero Mkoani Kagera na baadae kutumbuliwa na Mhe Rais kwa uzembe na ufisadi ambapo baadae aliamua kugombea Ubunge na kuteuliwa na CCM amefanya sherehe kubwa kijijini kwao Kitobo ambapo amechinja ng’ombe watano...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa aliyefanya ziara

    Kwanza nianze kwa kutambua kuwa Bunge lina Sheria, Kanuni na taratibu zake ambazo kila Mbunge ni jukumu lake kuzitii. Ndugu Lissu tulimtambua akiwa kwenye matibabu baadae tukaona anafanya ziara katika mataifa mbalimbali na kutoa tuhuma kwa Serikali jambo ambalo hakuwai kutoa ushaidi kwa yale...
Back
Top Bottom