Recent content by Sindai Mabula

  1. Sindai Mabula

    Uhusiano wa HIV na Hepatisis B

    Hapewi kwa sababu kuna dawa anazotumia yeye inayoitwa lamuvudine 3TC ktk combination form with other arv drugs huitibu hepatitis B iwapo itaingia mwilini. Hyo ndo sababu kuu ndugu. More information about HIV call 0710091609 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Sindai Mabula

    DC Arusha atamani mkurugenzi wa jiji Arusha awe RC

    Hapana. Hujakosea. Uchunguzi usio na mashaka ni ule unaofanywa na Afisa wa Usalama wa taifa. Hvyo kauli yake inamuongoza mkuu wa nchi kuzingatia.
  3. Sindai Mabula

    Swali Fikirishi: Vipi ikitokea pale 2025 Majaliwa akawa Rais na akamteua Magufuli kuwa Waziri Mkuu?

    Anayefuata ni muislamu. Chunguza vijana km Hussein bashe, kassim majariwa na Suleiman jafo. Tutafutane 2025 mmoja wapo atakuwa presidential candidate. Hao wawili wa kwanza ni team ya lowassa na Rostam. Huyo maliamungu wa Dar Es salaam hawezi kupata bcoz mtu wake ni jasusi kutoka Jimbo la mtama.
  4. Sindai Mabula

    Mahakama Kuu yatengua hukumu dhidi ya Joseph Mbilinyi (Mb)

    Lengo kuuu ni kuondoa vizuizi vya manufaa ktk maisha mfano kupoteza sifa za kugombea. Maana yake ni kuwa sugu Hana kizuizi ktk kugombea Nafasi yyt ile. Hukumu ile Ingekuwa kikwazo siku za usoni
  5. Sindai Mabula

    Christopher Bageni agonga mwamba Mahakamani, sasa anasubiri Kunyongwa tu

    Lema. Shahidi muhimu alipigwa sumu
  6. Sindai Mabula

    Christopher Bageni agonga mwamba Mahakamani, sasa anasubiri Kunyongwa tu

    Alipelekwa rukwa ili uchunguzi ufanyike pasipo yy kujua
  7. Sindai Mabula

    Rais Magufuli una bifu gani na Hussein Bashe?

    Tatizo mzee alishasema hamfikiriii kwenye uteuzi na alishasahau km yupo bungeni kisa michango yake ina itikadi ya kiupinzani
  8. Sindai Mabula

    Je, Mafuta mgando (virainishi) yanaweza zuia maambukizi ya UKIMWI!?

    Lengo la kutumia condom ni kutengeneza mazingira magumu kwa kimelea kutembea ukilinganisha na unyevunyevu. Njia hyo ina highest preventive measures ukilinganisha na unyevunyevu
  9. Sindai Mabula

    Je, Mafuta mgando (virainishi) yanaweza zuia maambukizi ya UKIMWI!?

    Kitaalam Popote palipo na uwezekano wa kupatwa na ugonjwa tunasema, The longer the time of exposure the higher the risk of disease contact. Mtu akiwa ktk Mapenzi Kwa muda mrefu na mtu mwenye Maambukizi km HIV, gonorrhea, syphilis, genital warts unakuwa kwenye hatari kubwa za kuondoka na...
  10. Sindai Mabula

    Wataalamu wa afya msaada tafadhari

    Malaria ni ugonjwa unaoambukizwa kutoka kwa muhusika kwenda kwa mtu mwingine. Malaria husababishwa na protozoan anayeitwa plasmodium falisparum, malariae, ovale, vivax. Huku Tanzania ni plasmodium falisparum ambaye akiingia hutoa dalili baada ya siku kumi mpaka kumi na nne. Yeye anahitaji...
  11. Sindai Mabula

    Je, Mafuta mgando (virainishi) yanaweza zuia maambukizi ya UKIMWI!?

    Mchubuko wowote ule ni njia rahisi Sana kwa kirusi hiki kupenya bcoz wanapita kwenye layer yyt ambayo imewazuia microorganisms wote km bacteria, plasmodium etc. Wanachohitaji ni medium tuu ili watembee. Ukipata bruise yaan mchubuko wowote ule kutoka kwa mtu mwenye Maambukizi ya virusi bila...
Back
Top Bottom